NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

Haya mchagulie na wa kutoka naye kabisa kama atashinda

attachment.php

you will be shocked - YouTube
Hahaha hahaha hahahah,
Hyu wa mwisho aliyevaaa bluu bluu na kiatu cheusi hpe atamfaa shemeji yangu Kaizer lol!
 
Last edited by a moderator:
Nimeona babu haki ya nani nimeamin mmetoka mbali lol!
Ila mbona km uko kloz sana na cacico zaidi kuliko wengine hasa Kongosho?
raha ya mke mdogo Cantalisia, ila wenzangu wote wananipenda, kwa kifupi tunapendana, tutakualika kwenye 5some yetu sikumoja uonje hiyo makitu! Kongosho ndiye mama mkubwa kwetu, anatupendajeeeeeee?? na siye pia twampendajeeeeee?? lol
 
Last edited by a moderator:
Cantalisia tuna league nae kwenye issue ya Yummy
anasema mimba ya Yummy ni ya kwake wakati mimi napinga Asprin analijua hilo ndo maana simpi kura yangu
karibu sana aise tulikumiss sana kama AshaDii nae alivyopotea
Hahha hahaha hahhhah,
Huo mpambano wenu mie mtizamaji maaana sijawahi sikia babu Asprin amemtia mjukuu yoyote tangu ameanza ukaguzi mpaka sasa ameoa wake 3 at once hahhahahhhhahah

Nishakaribia swaiba,hope ni swala la mda tu AshaDii naye ataibuka as usual!
 
Last edited by a moderator:
raha ya mke mdogo Cantalisia, ila wenzangu wote wananipenda, kwa kifupi tunapendana, tutakualika kwenye 5some yetu sikumoja uonje hiyo makitu! Kongosho ndiye mama mkubwa kwetu, anatupendajeeeeeee?? na siye pia twampendajeeeeee?? lol

Wife, eti Cantalisia kakuelewa au bado nimwambie mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
raha ya mke mdogo Cantalisia, ila wenzangu wote wananipenda, kwa kifupi tunapendana, tutakualika kwenye 5some yetu sikumoja uonje hiyo makitu! Kongosho ndiye mama mkubwa kwetu, anatupendajeeeeeee?? na siye pia twampendajeeeeee?? lol

Asante cacico namjua vizuri sana mama yenu Kongosho kwan kabla sijaolewa na mme wangu Rejao, kongosho alikuaga mke mwenzangu na alkua akinipenda hana tatizo kbs labda mumzingue tu!

Hiyo 5some yenu venue wapi na code ya mavazi ikoje kwan kupendeza inahusu atiiiiiiiiiiiiiii!
 
Last edited by a moderator:
Hahha hahaha hahhhah,
Huo mpambano wenu mie mtizamaji maaana sijawahi sikia babu Asprin amemtia mjukuu yoyote tangu ameanza ukaguzi mpaka sasa ameoa wake 3 at once hahhahahhhhahah

Nishakaribia swaiba,hope ni swala la mda tu AshaDii naye ataibuka as usual!
Babu Asprin kashaapewa vidonkge kule na Yummy
niko nae hapa roho swafi kabisa Cantalisia we acha tuu raha ta kuw ana mke ni kubwa sana aise haswa mke mwenyewe Yummy
 
Last edited by a moderator:
Hahahah hahhhah hahhhahha!

Habari yake binafsi babu Asprin lol!
So kapigwa kibuti na Yummy au?hebu nieleweshe hapo kidogo Mr Rocky lol!
Cantalisia kibuti kimelia kwa nguvu mpaka kule mabwepande wamesikia wale jamaa wanaotoa kucha na meno
nafikiri babu Asprin huko aliko ana bp na shell na total na oil com na mount meru na camel kwa mkupuo
 
Last edited by a moderator:
wivu sina mieeeeeeeeeeee....

kura zote nampigia hubby wangu Asprin.....

nitarudi baadae kutangaza matokeo kwa mamlaka niliyopewa na jamhuru ya watu wa jamiiforums.... naelekea jukwaa la stress kidogo

Hivi wife leo si zamu yako? Wanipikiani? Afu ujiandae eh mama eh, mi nataka leo.
 
Last edited by a moderator:
Cantalisia kibuti kimelia kwa nguvu mpaka kule mabwepande wamesikia wale jamaa wanaotoa kucha na meno
nafikiri babu Asprin huko aliko ana bp na shell na total na oil com na mount meru na camel kwa mkupuo

Hahahha hahhhha hahhha hahhhahah!
Pole zake babu yangu kipenz Asprin zimfikie popote alipo asijali sana kwan hata hao wawili aliobaki nao si hapa watamfuta machozi na kumsahaulisha machungu ya kibuti lol!

Hongera Mr Rocky kwa kurudiana na mkeo Yummy lol!
Ila itakuwa vizuri km mkeo atakuja na kuthibitisha hili na babu Asprin naye akaja na kukiri kuachika kwake lol!
 
Last edited by a moderator:
Asante cacico namjua vizuri sana mama yenu Kongosho kwan kabla sijaolewa na mme wangu Rejao, kongosho alikuaga mke mwenzangu na alkua akinipenda hana tatizo kbs labda mumzingue tu!

Hiyo 5some yenu venue wapi na code ya mavazi ikoje kwan kupendeza inahusu atiiiiiiiiiiiiiii!
umeona eeee Cantalisia! tena ni bonge la player kwenye 5some yetu, huwa anacheza centre, chezeiya Kongosho weye?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom