NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

Chezeya wake zangu? Unaona tulivyotoka mbali na cacico enzi hizo anajiita Natasha?

attachment.php
Nimeona babu haki ya nani nimeamin mmetoka mbali lol!
Ila mbona km uko kloz sana na cacico zaidi kuliko wengine hasa Kongosho?
 
Last edited by a moderator:
Mhhh nimekosa wa kumpigi akura maana Asprin nina league nae Kaizer duh nimecheka mbavu sina hapa ila hebu ngoja kwanza nione kama naweza mpa kura ila tuna ubishi juu ya AmKATRINA Bishanga alimuahidi my former wife Yummy kumletea senene mpaka leo sijawaona hivyo wife wa zamani kaniambia kura nisimpe
Afadhali nitoe kura yangu kwa Dark City
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kinyang'anyiro kimekaa vizuri...
japo kwa upande mmoja nimeona mshindi tayari
ila kwa upande wa viburudisho (wadada) naona mpambano ni mkali...
wote wako moto...
anyways hayo si yangu...
mimi ni mdhamini....na kwakua ni siku ya wakulima, creti la bia nitakalotoa ni BALIMI BEER
 
Mhhh nimekosa wa kumpigi akura maana Asprin nina league nae Kaizer duh nimecheka mbavu sina hapa ila hebu ngoja kwanza nione kama naweza mpa kura ila tuna ubishi juu ya AmKATRINA Bishanga alimuahidi my former wife Yummy kumletea senene mpaka leo sijawaona hivyo wife wa zamani kaniambia kura nisimpe
Afadhali nitoe kura yangu kwa Dark City
Sasa huu ndio unaitwa unoko! Hata Nokia ya Tochi unaiwekea ulinzi shirikishi??

167924_10150383489620503_862360502_16907800_7611013_n.jpg
 
kinyang'anyiro kimekaa vizuri...
japo kwa upande mmoja nimeona mshindi tayari
ila kwa upande wa viburudisho (wadada) naona mpambano ni mkali...
wote wako moto...
anyways hayo si yangu...
mimi ni mdhamini....na kwakua ni siku ya wakulima, creti la bia nitakalotoa ni BALIMI BEER[/QUOTE]

naongezea japo si mywaji si unajua tena huu mwenzi.............
wanzuki ndio kinywaji pedwa na familia zima ya Asprin na ndio maana..................
banana beeriiiii itakuwepo,na pombe kuchota za aina zoteeee zitakuwepo
 
Last edited by a moderator:
Am back now Mr Rocky majukum tu yalitishika kiana,
Am happy to c u kwa mara ingine aisee!

BTW mpe babu Asprin kura bana anataka apate ushindi japo shindalo lenyewe nalihisi km liko kiupendeleo flan!
Cantalisia tuna league nae kwenye issue ya Yummy
anasema mimba ya Yummy ni ya kwake wakati mimi napinga Asprin analijua hilo ndo maana simpi kura yangu
karibu sana aise tulikumiss sana kama AshaDii nae alivyopotea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom