Nandy aendelea kumnyoosha Diamond Platinumz

Hapo safi maana Domondi alisema hana competition yuoutube maana kila wimbo akitoa anakimbiza ,ni habari njemba kwamba nandy mamaa "belenaisi" anamyoosha kisawasawa.
Hukuelewa, Diamond alipost streams, views and monthly listerners za digital platforms zake za kila mwezi huku yy akiongoza. Na gape likikuwa kubwa sana kati ya mtu wa kwanza na anayefuatia. Diamond hakupost trending
 
Trending ndiyo inakuja kuzaa overall ,mdogo mdogo anatolewa kwenye trending.
 
Trending ni tofauti na mauzo, ni vitu tofauti japokuwa trending ina chagiza pia mauzo ila ni vitu tofauti.

Ingekuwa trending ina zaa overall basi Dullah Makabila angekuwa miongoni mwa wasanii 5 wanaouza zaidi kazi zake.

Daah ina trend youtube (Tz) na audiomack (Tz) ikiwa namba 1 ila Mapoz ipo namba 2 (Tz) na namba 1 (KE) kwa upande wa youtube. Mapoz boomplay ipo trending namba 1 (Tz) (KE) na Africa huku Audiomack (Tz) ikiwa namba 2.
Mapoz apple music ipo trending namba 1 (Tz).

Kwa hiyo overall Mapoz ipo trending kupitia digital platforms nyingi kuliko Daah na ndio the most streamed song tangia huu mwaka uanze (currently).

Kwa mantiki yako Nandy atakuwa msanii aliyeuza zaidi February hii kwa upande wa youtube au 😂 😂 😂
 
Trending ni tofauti na mauzo, ni vitu tofauti japokuwa trending ina chagiza pia mauzo ila ni vitu tofauti.

Ingekuwa trending ina zaa overall basi Dullah Makabila angekuwa miongoni mwa wasanii 5 wanaouza zaidi kazi zake.

Daah ina trend youtube (Tz) na audiomack (Tz) ikiwa namba 1 ila Mapoz ipo namba 2 (Tz) na namba 1 (KE) kwa upande wa youtube. Mapoz boomplay ipo trending namba 1 (Tz) (KE) na Africa huku Audiomack (Tz) ikiwa namba 2.
Mapoz apple music ipo trending namba 1 (Tz).

Kwa hiyo overall Mapoz ipo trending kupitia digital platforms nyingi kuliko Daah na ndio the most streamed song tangia huu mwaka uanze (currently).

Kwa mantiki yako Nandy atakuwa msanii aliuza zaidi February hii kwa upande wa youtube au 😂 😂 😂

Good analysis.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom