Namwonea huruma nimsaidiaje huyu mwanamke?

Hapana mkuu KIPIPI, nawashukuru wana jf wote kwa ushauri wao mzuri. Siwezi kwenda kinyume na ushauri wa watu zaidi ya 50 hadi sasa wenye mauzoefu ya maisha. Mmeiokoa ndoa yangu kwa kuwa nimegundua it is wrong to do that. Nitakuwa makini sana jameni, kama ni kampani yangu kwake itakuwa tu ni ya mambo mengine na siyo umegaji wa Tunda. MUNGU AWABARIKI SANA. Viva jf

wewe unaovyoongea unaonekana kabisa ukitoka hapa unaenda kula tunda sina imani nawe hata kidogo
 
Katika maisha yangu nilishakutana n mkasa unafanana kwa mbalii na wako lakini nilichoexpirience sitakaa nirudie kamwe kitu kama hicho hata kama mzuri kama malaika pale ambapo ikitokea ni mtu tupo ktk roof moja officn au kokote! Ndugu yangu mshauri vyema huyo dada awe mvumilivu pia usjifanye kumpotezea sanaaa lakini jifanye unamjali ila with great care.to avoil a lifetime messssssssssssssssss
 
Nimekuelewa vizuri,unasema hahitaji msaada wako yaani pesa kwani analipwa vizuri ila anachohitaji kwako ni company yako tu.Madhara yake unayajua???huyo ukitenda nae tu,tayari hiyo ni nyumba yako ndogo,utaanza kwa kujifichaficha baadae haitakuwa siri tena matokeo yake mkeo atajua kibaya mnakaa mtaa mmoja hiyo vita sijui utaiamulije!!kitendo chako cha kutoa sifa kwa huyo mjane ati ni mdogomdogo inamaana ulishampambanisha na mkeo ukavutiwa nae hapa unavunga tu kutaka ushauri wetu kumbe majibu na maamuzi unayo.Tatizo hata kama huyu dada analipwa vizuri haijalishi pesa utampa tu,na hapo ndipo utakapoyayumbisha maisha ya familia yako,maharage mwanzo mwisho.
thanx Vonix. Noted pls. Ubarikiwe
 
Nicolson nimekupata vizuri. Thanx
 
wanaume mna kazi kwani wanaume dunia nzima hawapo umebakia wewe tu?
vitamaa tu vinakutesa na sio huruma

FirstLady1 hapo nami ndo najikuta njiapanda,kwa kuwa najiuliza huenda mimi nikawa ndo huyo mwanamume. But ushauri wa magwiji hapa Jf umenifundisha mengi. Nitapiga vita sana coz dhamira yangu imekua active. Thanx
 
dogo, ambe wafa/ofuye!
Kuna tabia moja siyo nzuri sana kwa viumbe hawa. Nothing more than sympathy requirement. Nilishawai kumbanjua mama mmoja lakini motive ilikuwa simply because
Bwana wake anamyanyasa sana; anyway mie sikujua kinachoendelea. Nilipogundua, akaniambia alikuwa ana revenge kwa mme wake. Ktk mazingira haya unayozumguzia, huruma si lazima umpatie mshedede! Eti ni mdogo mdogo tena mzuri; acha tamaa mbaya bwana mdogo. Nimejifunza mengi kuhusu viumbe hawa, sitorudia tena asilani.

Mkuu Osaka nimekupata vyema! Thanx
 
Nimekuelewa vizuri,unasema hahitaji msaada wako yaani pesa kwani analipwa vizuri ila anachohitaji kwako ni company yako tu.Madhara yake unayajua???huyo ukitenda nae tu,tayari hiyo ni nyumba yako ndogo,utaanza kwa kujifichaficha baadae haitakuwa siri tena matokeo yake mkeo atajua kibaya mnakaa mtaa mmoja hiyo vita sijui utaiamulije!!kitendo chako cha kutoa sifa kwa huyo mjane ati ni mdogomdogo inamaana ulishampambanisha na mkeo ukavutiwa nae hapa unavunga tu kutaka ushauri wetu kumbe majibu na maamuzi unayo.Tatizo hata kama huyu dada analipwa vizuri haijalishi pesa utampa tu,na hapo ndipo utakapoyayumbisha maisha ya familia yako,maharage mwanzo mwisho.

noted please with thanx!
 
we c baba huruma haya muhurumie na mkeo naye atamhurumia mkaka naye aliye fiwa na mkewe cku moja mana mla naye huliwa(humegewa)
 
Wewe tayari ushafanya maamuzi au huenda tayari ushambanjua hapa unatutafutia dhambi tu,achana na hiyo kitu kabisa ukionja huachi na hivi yuko offisini ndo kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa unajisevia tu.
 
Wewe si una mke ana umesema mnapendana? Tamaa za nini? Imagine kama na mkeo angeamua kufanya similar thing kwa jirani yako aliyefiwa na mkewe, ungukubali??
Tafakari kaka!
 
kama ww ni mzinzi usitafute kutuhusisha katika uzinzi wako. kila aziniye na mwanamke ambaye sio mke wake hana akili na adhabu yake ni kwenda katika moto wa milele ikiwa atakufa bila kutubu. inakupasa umgeukie Yesu akuokoe, atakupa uwezo wa kushinda dhambi zote ikiwemo ya uzinzi.

Pili, kwa heshima ya ndoa yako, inakupasa usitishe mawasiliano na mwanamke huyo mara moja, kwani unakoelekea utahribu familia yako.

Tatu, kwani huyo mwanamke ana nini ambacho mkeo hana hata umpapatikie, acha uzinzi utaangamia

Nne, usipotubu, kukatisha uhusiano, utakufa na wewe kwa ukimwi na kuangamia,

acha uzinzi hautakusaidia bali utakuabisha
 
Mhhhh!!! yaani unatafuta sababu ya kuhalalisha dhambi yako..............na unataka sisi tukupe kibali ....mhhhh!!! POLE
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mpe masharti akikubali mbanjue, sharti la kwanza kutunza siri, pili asijionyeshwe wazi, asipige simu mpaka umpigie, asitume message za mapenzi, asimuzoee mkeo, umweleze kuwa unampunguzia machungu wakati yeye anatafuta wa kuendelea naye
 
Kaa naye mbali.
Punguza mawasiliano naye hasa ambayo hayahusiani na kazi.
Ukimbanjua tu, ndoa yako itakuwa ni inloving memory.
 
Acha kutuzingua bwana,ww ulikua unakamendea hako kibinti muda,baada ya kufiliwa ndio ukasema allahmdulillaih Mungu anipe nn tena! Endelea sasa kaza buti ongeza mke wa pili,toto tatu.
 
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.

Nakushauri kwa dhati mkuu

Naomba umuoe awe mkeo kabisa, utakuwa umemsaidia sana

Mke wako mwambie ampende jirani yake ..hiyo ni jihad utapata dhawabu akhera mkuu
 
Moja jumulisha nne utapa jibu kumi na nne, ukipenda andika nane sifuri nabeba nyingine! ganja bana!
 
Back
Top Bottom