Namwonea huruma nimsaidiaje huyu mwanamke?

kijukuu kindo

Member
Sep 19, 2010
86
12
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.
 
Kijana usifanye upumbavu. Kama unamwonea huruma mwache mkeo mpe talaka kakae na huyo inayemwonea huruma tuone kama huruma yako juu yake itakufikisha mbali.
 
Dunia haiishiwi vioja jamani!Yaani unataka kuleta hadithi za kufa kufaana?Achana na hiyo kitu wewe.Unasema mwanamke mwenyew ni mdogodogo flan.Kwani wa kwako ni mkubwakubwa flan?
 
ulikuwa unamtamani siku nyingi sasa unataka kujustify. Shinda tamaa yako, thamini ndoa yako, ijali familia yako acha kujifanya wewe baba huruma
 
ama kweli walimwengu hawana huruma kumsaidia mtu mahitaji madogo madogo ni mpaka umbanjue pheeew

hilo ndilo ombi lake kwangu. Hana shida na vijihela vyangu kwa vile nae anafanya kazi analipwa vzuri. Just my company ktk haya mapenzi ndo anataka
 
Wacha hiyo! Wacha kabisa! Usiguse! Ukigusa tu ni kama vile inzi kufia kidondani! Na muonja asali huchonga mzinga! Utanogewa na ndoa itavunjika! Watoto wako watateseka. Wacha kabisa!
 
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.

Kijukuu
Duh......................we all are encouraged kusaidia wajane and all that tupate thawabu, but since you have a wife , your first responsibility should be her na mahitaji yake.Granted wewe waweza kuwa wale wanaume rijali na hivyo kuweza kukidhi mahitaji ya wote , ila I'd say bounce this idea off her first if she is fine with it then...................................if not then acha maana misaada
inayo leta kufarakana katika familia hata mungu hapendi.

PS
Be advised that, If you find this comment crazy and lacking then you have gotten the point, otherwise...........................
 
Kama kweli wamuonea huruma hutajihusisha nae for the following reasons…..

  1. Unampenda mkeo hivo kwa huyo dada ni tamaa tu yakupeleka (ambayo umeificha katika huruma) maana umejusitify kua ana ka mwili kadogo kadogo; ambayo yaonesha wazi kua ndo type wapenda.
  2. Mko nae ofisi moja… Hivi kaka unajua mwanamke alo vulnerable akiwa exposed kwa mtu ampendae anavo kung'ang'ania ukisha mhalalisha anavokua kero?? Isitoshe mko ofisi moja – itakuchukua mda mfupi saana kuweza mchukia ile mbaya (hasa baada ya ikisha lala nae) kitu ambacho kitakupeleke mistreating her – hivo kumuumiza zaidi.
  3. Unaishi nae mtaa moja…. Kaka, infidelity hata siku moja haina principle ya kulala na mwanamke mtaa mmoja na mkeo kama kweli wampenda huyo mkeo kama madai yako.
  4. Huwezi jua... waweza nogewa na kuharibu ndoa yako ya sasa ukahamisha Mapenzi yoote huko.

All in all wewe ndo mwamuzi wa mwisho… Vovote ufanyalo results zake ni mbaya.... Nakusihi tumia brain yako na acha kabisa kumsikiliza dogo…
 
I really thank u Nemo and evrybody 4nice pieces of advice. Will take care! THANK UUU...!
 
Ashadii asante kwa uchambuzi murua. Ama kweli sauti ya wengi... Inanionya nami sina budi kuwa makini. Asante sn
 
Back
Top Bottom