Namwonea huruma nimsaidiaje huyu mwanamke?

Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.

Acha uzinzi wewe, we umesema una mkeo halafu na hapo pa bluu napo panakusuta (ndo kumpenda sana mkeo huko?).. Na hapa umekuja tukushauri ukazini si ndio? NON SENSE.
 
Eti mume wake kafa na ajali; kwa hiyo??? Angekufa na malaria??? Ha ha ha! Unajidanganya kuwa waliofiwa na waume zao kwa ajali basi hawana HIV. Kaka leo ni tarehe 1 December hatutaki kupoteza wazembe kama nyie! Hata wenye HIV wanakufa vifo vingine zinduka! We mwanamke gani miezi minne tu toka mmewe kafa keshaanza kuwashwa huko chini? Huyo alishazoea mechi za mchangani gusa unate.
:juggle:

Haha haha nimecheka mieeeeee
 
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.

Kama dini yako inakuruhusu, basi mpe
 
Mimba ya tamaa huzaa dhambi, na dhambi huzaa kifo. Kama unampenda kweli mkeo huwezi ukamsaliti kwa kwenda nje ya ndoa tatizo tamaa tu inakusumbua kwani wanaume wengine wa kumridhisha wameisha na umebaki wewe tu? Muombe sana Mungu akusamehe juu ya tamaa yako hiyo "imeandikwa msizini, lakini mimi nawaambia kila amwangaliae mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake".
 
duuh! Kama kwa kuangalia tayari umeshazini ina maana ni bora kufanya kweli kabisa. Kama kumtamani dem ni sawa na kulala naye, si bora basi ufanye kweli ukate mzizi wa fitina? i.e. Bora uadhibiwe kwa kosa la kumtafuna demu kuliko tu kosa la kumtamani?
 
'' demu ni mdogo mdogo halafu ni mzuri pia'' yaani hii coment yako inaonyesha unamtamani kabisaa ahapa umekuja kusumbua vichwa vya watu tu na huenda umeshamega,yaani miezi minne tu umeshaanza kumezea mate mjane wa watu, we huenda ulikuwa unatamtamani siku nyingi hivyo kufiwa na mumewe ni advantage kwako. Acha tamaa mbayaaaaa! Acha uzinziiiiii! Heshimu ndoa yako kaka.
NB. Shetani nakuta mahali pabaya hivyo shtuka mapema sana na mkemee. Huyo pepo infidelity
 
Always mwanaume kwa kupenda kuonjaonja ndivyo tulivyoumbwa asikudanganye mtu. Jiulize Nabii Suleman alikuwa na wake 700 na vimada/nyumba ndogo 300, jumla unapata buku. Wewe mke mmoja ukiweka kanyumba kadogo kamoja inakua ishu. Ukweli ni kuwa Umpende mke wako vp kuna mahali utadondoka tu na unamega, uwongo?? Kuna kale kaibilisi kapo tuu! Kuna anayebisha?
 
nabisha, sio kwa vile wewe uko hivo basi watu wote watakuwa hivyo ulivyo. Ndo maana kuna watu wachawi lakini si kila binadamu ni mchawi, kuna walevi lakini si watu wote ni walevi.
 
Hongera kadakabikile kama unamaanisha unachosema. Ila sijakufahamu unazungumzia ulevi gani hapo. Maana Wenzio kama si walevi wa pombe basi wanao ulevi wao, kwa hyo kila mtu ni mlevi kimsingi. Wewe je? ulevi wakö nini?
 
Always mwanaume kwa kupenda kuonjaonja ndivyo tulivyoumbwa asikudanganye mtu. Jiulize Nabii Suleman alikuwa na wake 700 na vimada/nyumba ndogo 300, jumla unapata buku. Wewe mke mmoja ukiweka kanyumba kadogo kamoja inakua ishu. Ukweli ni kuwa Umpende mke wako vp kuna mahali utadondoka tu na unamega, uwongo?? Kuna kale kaibilisi kapo tuu! Kuna anayebisha?

dah......kwa hiyo wewe una lako kichwani ila ulikuwa unachezea tu akili za watu eeh?? Siku nyingine ukirudi na thread ya namna hii alafu watu wakakurushia madongo utalalamika?? Haya......endelea kuchangamsha jamvi!!!
 
Hapana mkuu KIPIPI, nawashukuru wana jf wote kwa ushauri wao mzuri. Siwezi kwenda kinyume na ushauri wa watu zaidi ya 50 hadi sasa wenye mauzoefu ya maisha. Mmeiokoa ndoa yangu kwa kuwa nimegundua it is wrong to do that. Nitakuwa makini sana jameni, kama ni kampani yangu kwake itakuwa tu ni ya mambo mengine na siyo umegaji wa Tunda. MUNGU AWABARIKI SANA. Viva jf
 
wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.

kwani kakwambia anataka?
 
Nimekuelewa vizuri,unasema hahitaji msaada wako yaani pesa kwani analipwa vizuri ila anachohitaji kwako ni company yako tu.Madhara yake unayajua???huyo ukitenda nae tu,tayari hiyo ni nyumba yako ndogo,utaanza kwa kujifichaficha baadae haitakuwa siri tena matokeo yake mkeo atajua kibaya mnakaa mtaa mmoja hiyo vita sijui utaiamulije!!kitendo chako cha kutoa sifa kwa huyo mjane ati ni mdogomdogo inamaana ulishampambanisha na mkeo ukavutiwa nae hapa unavunga tu kutaka ushauri wetu kumbe majibu na maamuzi unayo.Tatizo hata kama huyu dada analipwa vizuri haijalishi pesa utampa tu,na hapo ndipo utakapoyayumbisha maisha ya familia yako,maharage mwanzo mwisho.
 
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.

dogo, ambe wafa/ofuye!
Kuna tabia moja siyo nzuri sana kwa viumbe hawa. Nothing more than sympathy requirement. Nilishawai kumbanjua mama mmoja lakini motive ilikuwa simply because
Bwana wake anamyanyasa sana; anyway mie sikujua kinachoendelea. Nilipogundua, akaniambia alikuwa ana revenge kwa mme wake. Ktk mazingira haya unayozumguzia, huruma si lazima umpatie mshedede! Eti ni mdogo mdogo tena mzuri; acha tamaa mbaya bwana mdogo. Nimejifunza mengi kuhusu viumbe hawa, sitorudia tena asilani.
 
kwani kakwambia anataka?

Mkuu soma thread vizuri; huyu mama mfiwa anataka mshedede toka kwa mleta thread, ndio maana anapiga simu hata baada ya saa za kazi. She badly needs mshedede; remember his husband kicked the bucket 4 months past.
 
wanaume mna kazi kwani wanaume dunia nzima hawapo umebakia wewe tu?
vitamaa tu vinakutesa na sio huruma
 
Back
Top Bottom