- Thread starter
- #21
Nyie madada na nyumba za kaka zenu nyie haya wee. halafu tafuta mume uolewe uachane na ndoa ya kaka yako ooohooo.
muda ukifika, afu mume hatafutwi. 2mezaliwa wawili tu napambana nijitegemee usihofu
Nyie madada na nyumba za kaka zenu nyie haya wee. halafu tafuta mume uolewe uachane na ndoa ya kaka yako ooohooo.
Ushaota vu.zi so tafuta mmeo uachane na kaka yako, zee zima linakaa. Kwa kakake.
Jibu zuri sana hili............Hayakuhusu endelea na maisha yako.
Jibu zuri sana hili............
Tulia kama maji ya mtungin
Pili usioila yakuwashia nini?
sasa kama una maamuzi untaka nini huku??kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia uplayer wa mumewe but nahisi ntavunja ndoa yao ingawa roho nyingine inaniambia yeye si anajiona matawi mwache atendeke. Jaman what is the right thing to do?
hahahahahaha!!! umebugi kidogo sina mume
hahahahahaha!!! umebugi kidogo sina mume
kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia uplayer wa mumewe but nahisi ntavunja ndoa yao ingawa roho nyingine inaniambia yeye si anajiona matawi mwache atendeke. Jaman what is the right thing to do?

inanihusu coz anachukua had my friends ambao wanakuja hm kwa jina langu soo likitokea ntakua ndani yake