Namuonea huruma cousin mwanamume wake kampa zawadi ya kitenge

Natalia najua hutachelewa kupigwa ban kama mwanzo. Ila lazima ukubali hali ya mwenzio kitenge ni zawadi,unataka vitz wakati yeye hana uwezo.
 
Daaaah hahahaha! Ni khanga moja au kapewa doti kama sita? Ila khanga ni zawadi inayo kumbusha mbalia....
Aaahhhhh Natalia
 
Pole sana.

Ndio gharama ya serikali ya mapinduzi inapogeuzwa serikali ya umoja wa kitaifa.

Kama vipi nikuhongepo na ka Vitz.
mie natembelea progress siku hizi.
sasa kavitz unanidhalilisha bana
h
 
kupewa kitu,hiyo ni zawadi tosha,haijalishi hicho kitu kina thamani gani.uachane na mtu kwa kuwa kakupa kitenge?ha i make sense.mambo ya kutegemea mambo makubwa kwa mwenzako haifai.tafuta kwa nguvu zako.
Hee hivi duniani waungwana kama nyie bado mpo??? Mungu akujalie uwaelimishe "binadamu" wenzetu kwenye hili.
 
cousin wako hafanyi biashara ya kifanyio kama wewe.... Yeye na mwenzie wamependana ndo maana kitenge kakipokea maana amepewa kwa mahaba.....
 
Seconded mkuu!

Unawekeza TBL mtimanyongo ukikushuka unakamata baamedi, buku tano tu unamtoa.

Hii siyo karne ya kuhongea K wakati zimejaa tele mtaani free of charge.

Ha ha haaaaaa! Asprin sijakusoma siku nyingi! Habari za Martenity Ward. Wakupe wewe hicho kitenge kama hawakitaki upelekee mama ng'aa huko Martenity Ward .
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaa! Asprin sijakusoma siku nyingi! Habari za Martenity Ward. Wakupe wewe hicho kitenge kama hawakitaki upelekee mama ng'aa huko Martenity Ward .

Huna habari niko Torabora kwenye biashara ya vyuma chakavu?

Hebu kam zis wei unipemo kampani. Salimia hommie Kaizer. nisaidie kumuuliza eti kikombe alichonipa baba sitakinywa?
 
Last edited by a moderator:
duuuh mbona mimi sijawai kupewa kitu na ninampenda
sembuse huyo kitenge tena kitenge elfu 25 kwenda juu ..mbona zawadi kubwa sana hiyo jamani?
hapa nafikiria sijui nimpe nini
 
Yaani Dunia ya Leo zawadi kanga nimemwambie amrudishie na ampige kibuti

she is khanga material!hata na wewe nikikupata kama unatembea kwa mguu sanasana ntakupa zawadi ya ef 10 uende saloon coz u don't deserve a worth gift coz u are cheap!nikikukuta na vitz nakubadilishia vitz nakupa harrier 6 cylinders mafuta utajua mwenyewe.
 
Bora kupewa kitu ambacho mtu amependa kukupa kama zawadi kuliko kuikataa kisa thamani yake

Upendo hauoneshwi kwa vitu vya thamani

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
Anataka zawadi ya mchi huyo .........
 
Mwambi ashukuru kwa kuwa mpenzi wake anampenda na kumjali kwa wengine ht kanga hawapati badala yake wenyewe ndio wanatoa
 
Huna habari niko Torabora kwenye biashara ya vyuma chakavu?

Hebu kam zis wei unipemo kampani. Salimia hommie Kaizer. nisaidie kumuuliza eti kikombe alichonipa baba sitakinywa?

Nimempa salamu na kasema kikombe alichokupa baba lazima ukinywe!
 
Yaani Dunia ya Leo zawadi kanga nimemwambie amrudishie na ampige kibuti

Huyo jamaa anazeeka vibaya, kizazi cha sasa unamzawadia mke khanga???
shule bado ni muhimu sana, kuna zawadi nzuri nyingi lakini sidhani kama khanga inafaa...............
sishauri kibuti kwani JAMAA HAJUI KWAMBA HAJUI
 
Back
Top Bottom