Namuonea huruma cousin mwanamume wake kampa zawadi ya kitenge

Yaani Dunia ya Leo zawadi kanga nimemwambie amrudishie na ampige kibuti
Zawadi ni zawadi. Kwenye mapenzi zawadi ni vikorombwezo tu. Huwezi kumshauri mwenzio aachane na mpenzi wake kisa zawadi aliyopewa! But kama huyo ni “mwanaume wake“ as the title sayz, nakubaliana na wewe kabisa, mshikadau inabid awe anatoa angalau zawadi kama ki vitz! Kama hawezi ampigwe chini atafutwe mwingine!
 
Zawadi ni zawadi. Kwenye mapenzi zawadi ni vikorombwezo tu. Huwezi kumshauri mwenzio aachane na mpenzi wake kisa zawadi aliyopewa! But kama huyo ni "mwanaume wake" as the title sayz, nakubaliana na wewe kabisa, mshikadau inabid awe anatoa angalau zawadi kama ki vitz! Kama hawezi ampigwe chini atafutwe mwingine!
yaani ubuege gani ?? uonge vitz kwa sababu ya K? kwa lipi hasa? hiyo K inapiga mziki? ina ndimu na pilipili? ndio mana sie wengine timeone bora tuwekeze tbl..upuzi at best..
 
some women will be given cars houses na expensive holis...others watapata khanga chips kuku na labda simu....u see u gota be realistic ...so labda huyo cousin ni khanga material sio car material
 
apewe benz my-foot, we ulitaka apewe zawadi ya UKIMWI ndo uone kapewa zawadi............mwambie ampige kibuti na umtafutie wa kumpa zawadi ya gari/nyumba............
 
wonder why umeleta huu upuzi humu,wanaowapelekea wapenzi wao ma apple ya sauzi unawaweka kundi lipi?
Wewe unayebagua zawadi huwezi kuja kumpata hata huyo wa kitenge, utaishia kuhonga wanaume ili upate penzi.
 
Upuuzi gani huo!!!ulitaka apewe nn!!inaonyesha hana mapz nae ila yupo kibiashra zaid..km vp apange bei ajulikana moja anauza ili mwanaume wake km anamudu anunue!!watu wanatafuta mapz ya dhat wengne kibiasshara zaid lol!.
 
yaani ubuege gani ?? uonge vitz kwa sababu ya K? kwa lipi hasa? hiyo K inapiga mziki? ina ndimu na pilipili? ndio mana sie wengine timeone bora tuwekeze tbl..upuzi at best..

Seconded mkuu!

Unawekeza TBL mtimanyongo ukikushuka unakamata baamedi, buku tano tu unamtoa.

Hii siyo karne ya kuhongea K wakati zimejaa tele mtaani free of charge.
 
Lol Hapo hakuna penzi ni kuchuna tu! Ulitegemea apewe nini? Mhh then unawaeleza wanajamvi
jinsi ulivyosikitika!

Na ndio tumefika hapa wanaume wengi wanaonekana ni matapeli kumbe situation zinawa-force kuwa hivyo kwa kuwa zawadi zinaangaliwa based on gharama yake, kwa mtaji huo kwanini mtu asijifanye yupo juu ili aweze kuchukua mzigo though kwenye mapenzi watu wanatakiwa wawe real kama mtu uwezo wako ni kanga basi ndio huo huku ukiamini one day yes utakuja kumpa zawadi ya nguvu mpenzi wako.
 
Seconded mkuu!

Unawekeza TBL mtimanyongo ukikushuka unakamata baamedi, buku tano tu unamtoa.

Hii siyo karne ya kuhongea K wakati zimejaa tele mtaani free of charge.

teh teh..

sio bamedi 2, pia kuna wachoma vitumbua, wadada wa saluni, mama lishe, watoto wa shule na wa vyuo, wote pia wanazo..
matter of fact, kuna over 3 billion K's under the sun, sasa ningefurahi kujua hiyo K ya kuongewa vitz ina accessories zipi? je, ni customizable? lol
 
kupewa kitu,hiyo ni zawadi tosha,haijalishi hicho kitu kina thamani gani.uachane na mtu kwa kuwa kakupa kitenge?ha i make sense.mambo ya kutegemea mambo makubwa kwa mwenzako haifai.tafuta kwa nguvu zako.

Watu wanatakiwa wawe real kwenye mapenzi na hii itaepusha usanii kwenye mapenzi na ndio maana watu wanaangukia kwa wapenzi ambao sio perfect match kwa kuwa wanaangalia zaidi thamani ya kitu hivyo wakikutana na mtu anaetumia pesa wanaona huyo ndio mwenyewe kumbe yeye anatumia fedha kama chambo akikutumia anaenda kuchagua kitu kingine. Watu lazima waelewe unapotaka mpenzi mwenye quality flani labda kielimu au kiuchumi na wewe ujiangalie ufanya juhudi na wewe kujiweka katika level kama unayodhani mpenzi wako awe, na kama kanga umeiona ni zawadi ndogo wewe umetoa zawadi gani kwa mpenzi wako
 
Seconded mkuu!

Unawekeza TBL mtimanyongo ukikushuka unakamata baamedi, buku tano tu unamtoa.

Hii siyo karne ya kuhongea K wakati zimejaa tele mtaani free of charge.

upo? mzima lkn?

umesahau mambo ya Natalia wewe enh?

haya bwana ngoja nikae opo nikulie chabo.
 
Last edited by a moderator:
teh teh..

sio bamedi 2, pia kuna wachoma vitumbua, wadada wa saluni, mama lishe, watoto wa shule na wa vyuo, wote pia wanazo..
matter of fact, kuna over 3 billion K's under the sun, sasa ningefurahi kujua hiyo K ya kuongewa vitz ina accessories zipi? je, ni customizable? lol

Hao wanaohonga VITZ ni wazee wa sifa wakiamini ukimshawishi demu wa aina flani alafu watu wakakuona nae kwake yeye anajiona kidume, amesahau kwamba kuna vipaji vingi sana underground ambavyo aki-identify ni bomba kuliko anavyohonga vitz
 
Back
Top Bottom