namtafuta yule dada....

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
34,056
61,415
habari zenu humu..
wiki kadhaa zilipitia kuna dada mmoja alikuwa anatafuta wanajamii wanao ishi arusha...sasa natafuta ile post sijaipata nilikuwa naomba msaada ili nipate username yake na kuanzisha mawasiliano....naombe msaa wa jinsi yakuipata hiyo post yake na hivyo username yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom