Namtafuta Asha Dii.....!!!!!

usitie shaka subiri mfungo mosi sa hivi ukioa itaonekana umeoa mke uji si unajua tena waswahili hawaachi maneno
mlango gani unataka kuingia wng kwa maana milango mingine haiingiliki oooooh!!

Milango miwili tu basi,....nasuburi
 
Wanajamvi yu wapi mdau huyu, nimemtafuta sana simuoni,nimezunguka mitaa yote oysterbay,mikocheni,buguruni kwa mnyamani, kwa mtogole, masaki,mji kasoro bahari, singida,Arusha e.t.c, nitafutieni mutu hii, ZAWADI NONO ITATOLEWA

Ulimpata?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom