Namshkuru sana mungu wangu kwa kunijaalia afya njema.... today 30th March tnatimiza mwaka wa Sita wa ndoa yetu namshkuru sana.. am still happy and happy and his love to me is still the same na kubwa we got one beautiful daughter.she i 4 yrs now
gud 4u!!
thax to god
endeleen kupendana na mungu awajaalie amani na upendo kwenye ndoa yenu
omben busara na hekima iwaaongoze kwenye ndoa yenu
utii na huruma baina yenu iwe ngao yenu
UAMNIFU IWE SILAHA YENU
nawwatakien mema katika ndoa yenu.
nawasilisha...:lol:
mjitahidi sio kesho kutwa unakuja na thread nyingine hapa ooh nimfanyeje mwanamke huyu
otherwise wishing u all the best!!
Tchao
Namshkuru sana mungu wangu kwa kunijaalia afya njema.... today 30th March tnatimiza mwaka wa Sita wa ndoa yetu namshkuru sana.. am still happy and happy and his love to me is still the same na kubwa we got one beautiful daughter.she i 4 yrs now
mtoto wa pili lin?
ndoa tamu ennh?
mjitahidi sio kesho kutwa unakuja na thread nyingine hapa ooh nimfanyeje mwanamke huyu
otherwise wishing u all the best!!
Tchao
Susy huyu ni mdada kwa msingi huo mambo yakienda kombo atasema "nimfanyeje mwanamme huyu"
Tuwaombee heri tu wasifike huko!!!
Hongera kwako na baba mtoto wako!
Namshkuru sana mungu wangu kwa kunijaalia afya njema.... today 30th March tnatimiza mwaka wa Sita wa ndoa yetu namshkuru sana.. am still happy and happy and his love to me is still the same na kubwa we got one beautiful daughter.she i 4 yrs now
Hahahahaha!
Mamaaa dena, ushafanya kazi yako.