Namshukuru Mungu kwa hili jaman.... Naomba wanajf tusheee my happiness

Just i am

Member
Jan 27, 2011
64
2
Namshkuru sana mungu wangu kwa kunijaalia afya njema.... today 30th March tnatimiza mwaka wa Sita wa ndoa yetu namshkuru sana.. am still happy and happy and his love to me is still the same na kubwa we got one beautiful daughter.she i 4 yrs now
 
gud 4u!!
thax to god

endeleen kupendana na mungu awajaalie amani na upendo kwenye ndoa yenu

omben busara na hekima iwaaongoze kwenye ndoa yenu

utii na huruma baina yenu iwe ngao yenu

UAMNIFU IWE SILAHA YENU

nawwatakien mema katika ndoa yenu.
nawasilisha...:lol:
 
mjitahidi sio kesho kutwa unakuja na thread nyingine hapa ooh nimfanyeje mwanamke huyu

otherwise wishing u all the best!!

Tchao
 
hongerta,
keep it up!!!!!!!!!!!!!
 
thanx best for ur gud words jaman...yapasa tumshukuru mungu kwa kila zuri analotujaalia
gud 4u!!
thax to god

endeleen kupendana na mungu awajaalie amani na upendo kwenye ndoa yenu

omben busara na hekima iwaaongoze kwenye ndoa yenu

utii na huruma baina yenu iwe ngao yenu

UAMNIFU IWE SILAHA YENU

nawwatakien mema katika ndoa yenu.
nawasilisha...:lol:
 
Namshkuru sana mungu wangu kwa kunijaalia afya njema.... today 30th March tnatimiza mwaka wa Sita wa ndoa yetu namshkuru sana.. am still happy and happy and his love to me is still the same na kubwa we got one beautiful daughter.she i 4 yrs now

Hongera sana Bibie
 
hahahaa acha haka ka kwanza kafike walau la tatu then tutafikiria wapili lini...yaaa ndoa tamu sana best has mkielewana namshukuru mungu 6 years nw but am still enjoying his love kama bado hujaingia karibu sana na kama tayari wishing u the best
mtoto wa pili lin?
ndoa tamu ennh?
 
mjitahidi sio kesho kutwa unakuja na thread nyingine hapa ooh nimfanyeje mwanamke huyu

otherwise wishing u all the best!!

Tchao

Susy huyu ni mdada kwa msingi huo mambo yakienda kombo atasema "nimfanyeje mwanamme huyu"
Tuwaombee heri tu wasifike huko!!!

Hongera kwako na baba mtoto wako!
 
ahsant sana realman na hilo ndo kubwa maombi kwa sana.....
Susy huyu ni mdada kwa msingi huo mambo yakienda kombo atasema "nimfanyeje mwanamme huyu"
Tuwaombee heri tu wasifike huko!!!

Hongera kwako na baba mtoto wako!
 
Hongera sana mshukuru Mungu kwa sana bidada eeehhh

Nakutakia mafanikio mema na Mungu aendelee kukupa furaha na amani milele
 
Hongera mdada... mkiaminiana na kuheshimiana mtaendelea kufurahia maisha ya ndoa siku zote... Nakutakieni furaha siku zote za maisha yenu. Sala iwe ngao kwenu.
 
Namshkuru sana mungu wangu kwa kunijaalia afya njema.... today 30th March tnatimiza mwaka wa Sita wa ndoa yetu namshkuru sana.. am still happy and happy and his love to me is still the same na kubwa we got one beautiful daughter.she i 4 yrs now

Mungu awajalie maisha mema,yenye upendo na amani.Hongereni sana
 
user-online.png
Just i am Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 27th January 2011
Posts : 63
Thanks11Thanked 10 Times in 8 Posts

Rep Power : 21

icon5.png
Eti jamani wana jf iit possible mtu kupata mchumba through mtandao uwe simu ama net

Naomba mnijuze juu ya hili kabla sijpotea ndugu yenu

Nabatilisha usemi wangu hapo juu acheni kucheza na akili za watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom