Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,160
Habari zenu wote.Nimewamiss kweli,ila nilikuwa busy na shughuli za kitaifa! Nimepata mpenzi,ni kila kitu kwangu,nampenda kuliko chochote maishani mwangu,tatizo moja tu ana wivu sana na anakosa uaminifu kwangu wakati mimi nimezama kwake hoi bin taabani kama mtoto mchanga na ziwa la mama,hata pembeni siangalii.Nifanyeje ili aniamini na apunguze wasiwasi kwangu?