Nampenda sana mpenzi wangu

Una umri gani wewe? maana ukija kupigwa chini usije kuja kujinyonga bureeeee, haya tuulizewenzio, tulikua hatulali, picha chini ya mto, barua box zima, lazima uzipitie na kuzisoma kial siku, hizo kadi ndio usiseme but mambo yalipokuja kugeuka.....usiombe, yaani usiombe hio kitu Mpwa, acha kabisa
 
Habari zenu wote.Nimewamiss kweli,ila nilikuwa busy na shughuli za kitaifa! Nimepata mpenzi,ni kila kitu kwangu,nampenda kuliko chochote maishani mwangu,tatizo moja tu ana wivu sana na anakosa uaminifu kwangu wakati mimi nimezama kwake hoi bin taabani kama mtoto mchanga na ziwa la mama,hata pembeni siangalii.Nifanyeje ili aniamini na apunguze wasiwasi kwangu?
Be careful, women are powerful to the extent that they can destroy you completely!trust nothing in this world including your own shadow, there may be deception, either in you or in the thing you like.
 
thanx will keep that in mind.
 
Una umri gani wewe? maana ukija kupigwa chini usije kuja kujinyonga bureeeee, haya tuulizewenzio, tulikua hatulali, picha chini ya mto, barua box zima, lazima uzipitie na kuzisoma kial siku, hizo kadi ndio usiseme but mambo yalipokuja kugeuka.....usiombe, yaani usiombe hio kitu Mpwa, acha kabisa

na umri wa kijana kwenda uzeeni,aisee nimezama ndugu yangu yani cjui ntatokaje sihemi sioni mapenzi yamenishika,ni kama moto unawaka ndani yangu.
 
Be careful, women are powerful to the extent that they can destroy you completely!trust nothing in this world including your own shadow, there may be deception, either in you or in the thing you like.

Unanikumbusha msemo wa Femme Fatale:

A femme fatale (
11px-Loudspeaker.svg.png
/ˌfɛm fəˈtæl/ or /ˌfɛm fəˈtɑːl/; French: [fam fatal], with all [a]'s) is a mysterious and seductive woman whose charms ensnare her lovers in bonds of irresistible desire, often leading them into compromising, dangerous, and deadly situations. She is an archetype of literature and art. Her ability to entrance and hypnotize her victim with a spell was in the earliest stories seen as being literally supernatural; hence, the femme fatale today is still often described as having a power akin to an enchantress, vampire, witch, or demon.

The phrase is French for "deadly woman". A femme fatale tries to achieve her hidden purpose by using feminine wiles such as beauty, charm, and sexual allure. In some situations, she uses lying or coercion rather than charm. She may also make use of some subduing weapon such as sleeping gas, a modern analog of magical powers in older tales. She may also be (or imply to be) a victim, caught in a situation from which she cannot escape; The Lady from Shanghai (a 1947film noir) is one such example.

Although typically villainous, femmes fatales have also appeared as antiheroines in some stories, and some even repent and become heroines by the end of the tale. In social life, the femme fatale tortures her lover in an asymmetrical relationship, denying confirmation of her affection. She usually drives him to the point of obsession and exhaustion so that he is incapable of making rational decisions.
 
Je comprend,merci!c'est tout?
 
Nakushauri bure tena kwa mara ya mwisho, take care utakuja kuiona dunia chungu, simaanishi kuwa usimpende lakini mpendane kwa misingii ya kupendana na sio kutamaniana, inaumiza sana Mpwa, inaumiza sana sana kuliko sumu yoyote ile, haya na ukiachwa (siombi iwe hivyo ila kama itabidi) uje pia utjuze kwa hilo pia.
na umri wa kijana kwenda uzeeni,aisee nimezama ndugu yangu yani cjui ntatokaje sihemi sioni mapenzi yamenishika,ni kama moto unawaka ndani yangu.
 
Nakushauri bure tena kwa mara ya mwisho, take care utakuja kuiona dunia chungu, simaanishi kuwa usimpende lakini mpendane kwa misingii ya kupendana na sio kutamaniana, inaumiza sana Mpwa, inaumiza sana sana kuliko sumu yoyote ile, haya na ukiachwa (siombi iwe hivyo ila kama itabidi) uje pia utjuze kwa hilo pia.

nitawaupdate yote yanayoendelea,tuombeane kheri tu mpwa,sitaki kumpoteza kamwe
 
Mpe ATM card zako zote, hapo kila kitu kitakuwa poa
 
na umri wa kijana kwenda uzeeni,aisee nimezama ndugu yangu yani cjui ntatokaje sihemi sioni mapenzi yamenishika,ni kama moto unawaka ndani yangu.

Huna lolote, naamini utakuja hapa siku moja unalia, eti umezama! Ngoja aje akuzamishe vizuri. Huhemi! mbona hujafa... na lazima utaungua tu mtu mwenyewe huoni?lol
 
ushatendwa wewe
 
haina mbaya,naona tushaelewana ushauri wako sasa

Mimi nakushauri usome haya

She might be new,
and her hair just might
be dyed blue.

Or she could be old,
and always dress in gold.

She could have many friends,
and follow all the latest trends.

Or she could be that friendless girl,
whose oufits always make you want to hurl.

It doesn't matter where she's from,
who's her father or who's her mum,
what really matters is how you act,
so from this day on, please make a pact,
to never be rude or unkind,
for even though she may
act like she doesn't mind,
deep down, she does.

People can't be judged by their hair,
what they listen to or what they wear,
so please, just be kind
 
Back
Top Bottom