Nampenda my clas$ met

Mimi nafikiri huyu jamaa anafanya tu utani.... siamini kabisa kama mtu anaweza kuwa University halfu aandike hivyo....hapana! Ameamua kufurahisha jamvi, au ni amemaliza tu std seven!

Karen wee adimu saana.... naomba nikujulie hali... mzima wewe??

Alafu on second thot.... hicho kiingireza kama kamaliza stnd 7 gramma iko hivyo kielimu tuko wapi jamani....
 
Watu wakisema elimu imeshuka .... oh, umejuaje. Hiki choo kikuu, oh no, hiki chuo kikuu kinafanya nini na huyu kilaza. Si wamdisco tu!
 
Karen wee adimu saana.... naomba nikujulie hali... mzima wewe??

Alafu on second thot.... hicho kiingireza kama kamaliza stnd 7 gramma iko hivyo kielimu tuko wapi jamani....

Asante sana my dear, niko mzima, ni majukumu ya hapa na pale, lakini pia Tanesco nayo inachangia sometimes kwa kuadimika kwangu...:(. Hope nawe u mzima?

Kama amemaliza tu std seven, naweza kumsamehe maana naelewa elimu ya shule ya msingi hasa vijijini.....kingereza ni sifuri!
 
Ukizungumzia tu umeme mood yangu yoote inaharibika... acha hii ya elimu... sidhani kwakweli kama tuna kitu cha kujivunia... Inasikitisha saana.

Nafurahi kusikia ni mzima wa afya... and thanks for the feed bak.... Take care Karen...
 
Jamani wana Jf nampenda sana my class met lakini wala hani pend. Unajua ilikuaje 1st time am join in unvst of st,John i was met a girl who was love me a lot yani she was crazy over me but sudenly after 1st semistes shewas change and we were nt good in our relation i was realy trièd to mek her love me as past coz i lov hm so much and iwas left my girl coz of her but haikutosha after one ýear she was left me coz shet got a gy who was his lv at past but she said she stil love me as so much but at this time she told me to stay away 4rm her. So marafiki wa jf tell what can i do coz i love her so much.
umedhalilisha elimu yako bro halaf unaweza kukuta ni mwalimu mtarajiwa. Sishangai tatizo ni mfumo mbovu wa elimu yetu.
 
Nakushauri utumie kiswahili kwa kuwa hujui kiingereza kabisa!

Afu kama hicho chuo unachosoma kiko Tanzania nadhani TCU wana kazi kubwa. Huna sifa ya kusoma chuo kikuu!

Hivi TCU wanatumia criteria gani ili mtu awe na sifa za kujiunga na chuo kikuu? Naona sasa Vyuo vikuu vinakuwa kama shule za kata, mtu anaingia kidato cha kwanza hajui lolote
 
Jamani wana Jf nampenda sana my class met lakini wala hani pend. Unajua ilikuaje 1st time am join in unvst of st,John i was met a girl who was love me a lot yani she was crazy over me but sudenly after 1st semistes shewas change and we were nt good in our relation i was realy trièd to mek her love me as past coz i lov hm so much and iwas left my girl coz of her but haikutosha after one ýear she was left me coz shet got a gy who was his lv at past but she said she stil love me as so much but at this time she told me to stay away 4rm her. So marafiki wa jf tell what can i do coz i love her so much.

We jamaa umeamua tu kutuchekesha huna lolote
 
1. UDOM

2. University of Malaysia

3. St. John University

4....WHO's NEXT!??
Kuna dada mwingine kachafua hali ya hewa kule MMU na kiingerera cha SMS,baadae tutakuja tibiwa na madaktari hawa,wanetu kusomeshwa na hawa,mtu anamaliza masomo na hajaambulia chochote na chuo kwa makusudi wanampa cheti na kumwachia uraiani.

Mi nadhani wahadhiri wana malalamiko mengi hayajatatuliwa wameamua kutukomoa kwa staili hii ya kutupa kizazi 'KIBICHI'.
 
Tumia lugha ya Taifa, lugha iliyokuja kwa meli imekukataa. Sio lazima uandike English ndio tujua kweli unatoka university.
Jamani wana Jf nampenda sana my class met lakini wala hani pend. Unajua ilikuaje 1st time am join in unvst of st,John i was met a girl who was love me a lot yani she was crazy over me but sudenly after 1st semistes shewas change and we were nt good in our relation i was realy trièd to mek her love me as past coz i lov hm so much and iwas left my girl coz of her but haikutosha after one ýear she was left me coz shet got a gy who was his lv at past but she said she stil love me as so much but at this time she told me to stay away 4rm her. So marafiki wa jf tell what can i do coz i love her so much.
 
Nashindwa kukushauri kwani sielewi kila kitu ulichosema. Kiingereza chako kibovu sana! Ni afadhali ukajifunza kwanza kiingereza kisha ukarudi chuoni. Sielewi utawaelewaje lecturers wako chuoni hapo kwani sioni ni namna gani unaweza kuelewa wakati hueleweki. Afadhali ungetumia lugha ya kiswahili na kutojitambulisha uko Chuo kikuu tungekuelewa. Nasikitika sana kwa hili.
Nidyo elimu yetu. Suala la mapenzi ni mpaka uandike kitu cha kueleweka.
 
Moja ya madhara ya teknolojia.. Kadri tunavyopoteza muda katika kutumia SMS, blackberry, Iphone..etc.. kwa kuandika kutumia mikato hasa "slang" kwa ile lugha ambayo hatuna uwezo nayo... ndivyo tunavyozidi kujaza ujinga..kweye vichwa vya vijana wetu.. kwani vijana wanaficha ujinga wao kwa kuandika kwa mikato..na slang feki..

Ingawa lugha si msingi wa maendeleo..lakini lazima tukubali - Kiswahili bado hakijapata misamiati mingi ya kutufanya tusikumbatie Kiingereza..kama walivyo wachina, warusi, wafarasa, etc..

Kwa kijana wa chuo kikuu kuandika utumbo kama huo .Yaani hata kiswahili kinamshinda ...utaweza kupima uwezo wake hata katika masomo mengine..yaani utakuwa utumbo tu....Mambo haya ndiyo yanayotufanya tutegemee umeme wa mvua toka mkoloni.. kwani wataalamu tuliokuwa nao .wamekimbia nje na kugeuka dispora au kama wamebaki nyumbani..wametafuta shortcut ya maisha ..yaani "Siasa" na kula hela za wajinga..
 
Back
Top Bottom