Nampenda my clas$ met

Jamani wana Jf nampenda sana my class met lakini wala hani pend. Unajua ilikuaje 1st time am join in unvst of st,John i was met a girl who was love me a lot yani she was crazy over me but sudenly after 1st semistes shewas change and we were nt good in our relation i was realy trièd to mek her love me as past coz i lov hm so much and iwas left my girl coz of her but haikutosha after one ýear she was left me coz shet got a gy who was his lv at past but she said she stil love me as so much but at this time she told me to stay away 4rm her. So marafiki wa jf tell what can i do coz i love her so much.

ina maana wewe uko university??? with this kind of language umeni-bore stiffly
 
Kaka Mudy, nashauri ukazane na shule kwanza, achana na huyo mdada, manake mmh!*
 
Pole bro ila wakati mengine badili lugha ili kuwafanya wadau wengi kukufahamu na kupata michango mingi zaidi.
Mi nahisi piga moyo konde ukaze ktk masomo kwani ndio kitu muhimu zaidi kwa sasa ili kutengeneza maisha ya badaye.
Pili tambua kuwa wazuri hawajaisha wala hawatoisha ila huyo dada hakufai kwani hana msimamo thabiti hivyo atakusumbua sana ktk maisha achana naye.nahisi inatosha bwana mu.ahasante
 
heee kaazi kweli kweli.. mm mwenyewe ninacho cha kuunga lkn umenifunika kjn. yn ww hujaomba ushauri wa mapenzi 99% wamekushauri kuhusu grammar yako, sas la msingi na la secondary, sahau huyo dem, cud be ameona hufai hat a kumwelimisha kama broken yenyewe ndyo hyo, ule mda wa kumuwaza, soma vitabu vingi vya kiingereza na fanya quiz unazokuta humo to improve kinyamwezi chako dr......:thinking:
 
Jamani wana Jf nampenda sana my class met lakini wala hani pend. Unajua ilikuaje 1st time am join in unvst of st,John i was met a girl who was love me a lot yani she was crazy over me but sudenly after 1st semistes shewas change and we were nt good in our relation i was realy trièd to mek her love me as past coz i lov hm so much and iwas left my girl coz of her but haikutosha after one ýear she was left me coz shet got a gy who was his lv at past but she said she stil love me as so much but at this time she told me to stay away 4rm her. So marafiki wa jf tell what can i do coz i love her so much.

Naomba unisamehe, nimeshindwa kuendelea kusoma huu uzi wako maana lugha uliyoitumia imenichefua.... Kwani lazima wote tuandike kiingereza jamani?
 
Jamani wana Jf nampenda sana my class met lakini wala hani pend. Unajua ilikuaje 1st time am join in unvst of st,John i was met a girl who was love me a lot yani she was crazy over me but sudenly after 1st semistes shewas change and we were nt good in our relation i was realy trièd to mek her love me as past coz i lov hm so much and iwas left my girl coz of her but haikutosha after one ýear she was left me coz shet got a gy who was his lv at past but she said she stil love me as so much but at this time she told me to stay away 4rm her. So marafiki wa jf tell what can i do coz i love her so much.

kweli english ni tatizo,tena tatizo kubwa kuliko tunavyofikiri.kama expected graduate ndo anatoa maboko ya sampuli hii,we Tanzanians we have along way to go.Mungu tunusuru ili soko la Afrika Mashariki litatumeza kama hatuwezi hata kujieleza kidogo tu kwa hii lugha ya malkia
 
kazi kwelikweli ndio hii watoto wanafauli darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika.
 
Uchokozi tu, sasa ndio nini kwenda kufukurunyua sredi ya watu ambayo ilishazikwa kwa mi-criticizes ya kumwaga. Jamaa ameshakuwa Mod, ataanza kukuwinda, shauri yako.
 
Jamani wana Jf nampenda sana my class met lakini wala hani pend. Unajua ilikuaje 1st time am join in unvst of st,John i was met a girl who was love me a lot yani she was crazy over me but sudenly after 1st semistes shewas change and we were nt good in our relation i was realy trièd to mek her love me as past coz i lov hm so much and iwas left my girl coz of her but haikutosha after one ýear she was left me coz shet got a gy who was his lv at past but she said she stil love me as so much but at this time she told me to stay away 4rm her. So marafiki wa jf tell what can i do coz i love her so much.

Duuuh hii ni hatari, sasa hapo ndo upo chuo kikuu huko A-level ulipitaje? nakushauri ufanye juhudi za makusudi kujifunza english.
 
shule za kitongoji hzo na sio za kata tena mimi nadhani sio mbaya kaandika kakosolewa ajipange maana centre za English kozi zipo nyingi..akajiandikishe.
 
The Finest ndio mtaalaam wa hawa jamaaa.... hopefully leo atawasiri... kazi ipo!!

JK kakazana kujenga madarasa alafu haboreshe Education related aspects... Too bad.

Kazi ni kubwa na usishangae huyu jamaa kapata udahili chuoni, definately hakufaulu sana ndiyo maana yuko St. John, hivi vyuo huchukua wale wamekosa udahili kwenye vyuo vya maana, lakini atafaulu tu ataandikiwa assignments na kudesa sana na ataajiriwa siku moja maana atakuwa anajilipia ada ambayo ni kubwa kwahiyo atakuwa na mtu anamsimamia na atapata kazi nzuri tu kuliko hata wale waliosomavizuri na baada ya muda atakuwa meneja kiukweli halafu shirika nyeti kabisa, sasa akifika pale yeye ndiye atashika hatamu ya uongozi then sikiliza madudu na hakuna wa kumtoa!!!!! lol, kweli ni kazi kumaiza huu umasikini wa nchi, tunahitaji dikteta, sioni sababu ya uchaguzi, leta kagame 2015, chapa viboko nchi iende! najisikia vibaya jamani, ila kuna msemo siku hizi, napita tuuuuuuuuu,
****!
 
Back
Top Bottom