Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,678
- 28,756
Hebu mtaje jina basiNampenda niliempata huku JF aisee ananijali kila eneo. Humu humu ndani kuna watu wanathamini sana watu. I love you darling

ampate aringe!!!!????Ndiyo.....hakuna tatizo kumpenda mwanaume anayekurahisishia mambo yako. Lakini vipi umeshampata tayari au you are looking for one?
Umeona eee kiropoo tu huyuBest, huna hela nn????
Sina hela best ila kuna mtu kanitonya kuwa unakopesha penzi, can you help me please??Best, huna hela nn????
Sweet wangu, ww ushajielewa na juzi umeniletee flat screen na Sabufa. I love u honey
sasa ujue dada zetu mfume dume umewaathir nashangaa wewe ukimpa mmeo unahic hakupende ndo maana hamtaacha kununuliwaAisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.
Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:
1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.
2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa
SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0
SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.

Ata wanaume wananunuliwa dearsasa ujue dada zetu mfume dume umewaathir nashangaa wewe ukimpa mmeo unahic hakupende ndo maana hamtaacha kununuliwa
Thank you honey!!!Nampenda niliempata huku JF aisee ananijali kila eneo. Humu humu ndani kuna watu wanathamini sana watu. I love you darling
Wee nawe umetaka mwenyewe kama unagegedwa na mwanaume wa hivyo....umepewa papuchi tena wala shimo hukuchimba wewe sasa washindwa kuitumia vilivyo kupata mwanaume anaehudumia....loh!!! kilanga chako kugegedwa na lofa.Aisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.
Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:
1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.
2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa
SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0
SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.
Haya dear, usiku mwemaWamekusikia walengwa...
Haya dear, usiku mwema