Nampenda mwanaume anayejiongeza

Princess21

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
272
266
Aisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.

Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:

1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.

2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa

SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0

SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.
 
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Ss mbona tunawafanyia vyote hivyo na hatulalamiki? Na bado tunagongewa lkn tunawasamehe.
Nyiny mkifanya kidogo tu mnaanza kulalamika.
50/50 si ndio mnataka au?
Kweny mapenz ya dhat huwa hatuangalii tunavyotoa au kupokea. Ndio maana huwa mpaka tunawasomesha, tunawapa gari n.k
inaonekana ww gold digger
 
Umenena haswa ila kama hama pesa ni kumsalia nae aweze kuchuma akiwa mpenzi mwema na anakuheshimu n.k.

Tabu yao wengine hata wakiwa hawana pesa hawajui kumkamata mwanamke kwenye maisha ya mapenzi. Nao wamejaa tamaa na uongo mtupu...baada ya kuachika ndio wanakaa na kujuta na kulia moyoni hata neno hawawezi kutamka. Pole zao
 
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Ss mbona tunawafanyia vyote hivyo na hatulalamiki? Na bado tunagongewa lkn tunawasamehe.
Nyiny mkifanya kidogo tu mnaanza kulalamika.
50/50 si ndio mnataka au?
Kweny mapenz ya dhat huwa hatuangalii tunavyotoa au kupokea. Ndio maana huwa mpaka tunawasomesha, tunawapa gari n.k
inaonekana ww gold digger
Kumbe huelewagi!!!! Nani kalalamika sasa Gregorie
 
Lusajo, sjalalamika nimeanza na kusema nampenda! Alafu chini ndio nimesema kuna wanaume baadhi ambao hawajali, au hujanielewa

Haya nimeelewa, all the best.

Nilikuwa na nia njema tu ya kujaza hiyo gap and give u the best experience kumbe tayari kumbe kuna mwana jf makini
 
Back
Top Bottom