Nampenda mwanaume anayejiongeza

Duuuh lazma watu akili ziwakae sawa 2016 wadananda ndio wanaongezake.....wahongaji ndio wanapotea
 
Inawezekana Kwel Mwanaume Wa Aina Hiyo Yupo? Embu Weka Picha Nimuone...Atherwise, Sitaamini!!!
 
:D:D:D
 
Attachments

  • 1466715136492.jpg
    1466715136492.jpg
    22.5 KB · Views: 39
Aisee nampenda sana mwanaume anaependa kujiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono au starehe mliofanya BIG NO, anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.

Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:

1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mieleka.

2. Vocha natoa mimi
3. Kitanda changu, mashuka, mito n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa

SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0

SASA WA NINI HUYU MWANAUME? HERI KUWA MKOBOAJI KULIKO KUJIPENDEKEZA KWA MTU AMBAE NI MZIGO, UPO NAE SABABU ANA JINSIA YA KIUME TU.
Point of correction:Hapo juu umesema neno tunatiana,inatakiwa useme ananitia,na hapo ndio inatakiwa umuheshimu,sababu anakupa huduma muhimu na malipo ndio hayo ya samaki na madikodiko ili arudihe afya mwilini baada ya kukuhudumia.
 
Kuondoa dhana ya kunilipa, ni vyema ukanogesha mapenzi yetu wakati mwingine, sio lazima siku hiyo hiyo tuliofurahia vikojoleo kukutana kwa upendo ndio uninunulie vitu, no! Unaweza jipanga siku tofauti ukaniuliza honey utapenda mwezi huu tuongeze nini hapa ndani kwako, au unapenda tubadilishe nini? About finance i will support you my love!!!
Utakuwa huna mvuto tu,tena una sura kama nguzo ya umeme,mwanaume akipata demu mkali,basi hata kama hana pesa atageuka tapeli au atauza hata nyumba ya urithi ili mradi ahakikishe unafurahi siku zote mko pamoja,ukiona anasema baby nakuja kwako na akaja mikono mitupu na akauchuna tu huku akingoja pilau iive ale,na baadae akakufunue na kisha asubuhi akaoga kwako na kutumia towel yako,na akakaa mezani anangoja breakfast,basi ujue kakuona below standard na kujiaminisha kwamba yeye yupo juu kwa hadhi nakaja kukufariji na upweke wako wa kimaisha na kingono,kwa hiyo wewe ndio mwenye ulazima wa kugharamika sio yeye.Kwa hiyo jichunguze ili usitupie lawama wanaume.
 
Point of correction:Hapo juu umesema neno tunatiana,inatakiwa useme ananitia,na hapo ndio inatakiwa umuheshimu,sababu anakupa huduma muhimu na malipo ndio hayo ya samaki na madikodiko ili arudihe afya mwilini baada ya kukuhudumia.
Ok, lakini mi nimejipinda nikanunua mchicha ili tule tushibe, yy ajatoa senti tano anadai anataka samaki, sjui anahisi wakwe zake ni WAVUVI
 
Utakuwa huna mvuto tu,tena una sura kama nguzo ya umeme,mwanaume akipata demu mkali,basi hata kama hana pesa atageuka tapeli au atauza hata nyumba ya urithi ili mradi ahakikishe unafurahi siku zote mko pamoja,ukiona anasema baby nakuja kwako na akaja mikono mitupu na akauchuna tu huku akingoja pilau iive ale,na baadae akakufunue na kisha asubuhi akaoga kwako na kutumia towel yako,na akakaa mezani anangoja breakfast,basi ujue kakuona below standard na kujiaminisha kwamba yeye yupo juu kwa hadhi nakaja kukufariji na upweke wako wa kimaisha na kingono,kwa hiyo wewe ndio mwenye ulazima wa kugharamika sio yeye.Kwa hiyo jichunguze ili usitupie lawama wanaume.
Watanzania wengi ni wagumu sana kuelewa, someni thread muielewe jamani. Mimi sjalalamika, "NIMESEMA KUNA WANAUME WA AINA HIYO, WAPITE MBALI NA MIMI, "
 
Ok, lakini mi nimejipinda nikanunua mchicha ili tule tushibe, yy ajatoa senti tano anadai anataka samaki, sjui anahisi wakwe zake ni WAVUVI
Hapo kweli kaharibu,ilitakiwa aje kwako at least na 2 discs of 12 inch Italian pizzas mamii.
 
Sema tu kwamba hupewi pesa basi,izo kelele nyingine maigizo tu,,siwezi kuamin kama mwanaume akikupa pesa kila siku na shoping za nguvu pamoja na outing utamuacha,hata kama kitandani ni gogo ama awe hanisi,na hata kama hajui kueka mazingira safi,waga mnavumilia vyote bila kelele na i love nying, msipohongwa ndo mnakuja kueleza haya
 
Back
Top Bottom