Nampenda Mungu tu

Sisi sio mafala ila bado wanaumee wanaona hiivyoo.

Mi nampenda Mungu tu .
Ila Kuna mtu anaringa sana eti Kisa anamashangazi plus mke ila yote life na kitambii changu,

Ngoja mjerumani wangu aje nitatolewa tu mpenzi halafu tuone kama hutonimiss .

Mume wangu mwingine yupo tu,good day endelea kunipondea ila next year hesabu mie ni married woman
Pambana na Hali Yako mkuu
 
Back
Top Bottom