Nampenda Mungu tu

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,890
Sisi sio mafala ila bado wanaumee wanaona hiivyoo.

Mi nampenda Mungu tu .
Ila Kuna mtu anaringa sana eti Kisa anamashangazi plus mke ila yote life na kitambii changu,

Ngoja mjerumani wangu aje nitatolewa tu mpenzi halafu tuone kama hutonimiss .

Mume wangu mwingine yupo tu,good day endelea kunipondea ila next year hesabu mie ni married woman
 
Mbona kama unamsema Analyse ??

mashangazi wamefanya nini tena😀
 
Back
Top Bottom