Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Wadau naomba kwa anayejua namna ya ku treat maji ya Mvua yasiharibike. Natarajia kuvuna maelfu ya Litter za maji ys mvua but si mtaalam wa kutreat. Kuna mtu ameniambia nitumie Water Guard. Nimenunua water bt haina maelezo ya kujitosheleza. Wazoevu naombeni msaada.