Namna ya kuset Network kwenye Adroid Tablet

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Hii tablet imenitoa ushamba.inataka niingize password za Network SSID ambazo sijui. natumia airtel naomba mnikwamue wajuzi. Kupiga na kupokea simu inafanya lakini kwenye settings za net inabaki 2G naumia sana.siapati mtandao kabisa.

msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom