Namna ya Kuondoa Political Apathy Tz

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Watz wengi wanazidi kukata tamaa na siasa hususan za uchaguzi.

Kiwango cha hamasa kinazidi kushuka kila baada ya miaka 5.

Usambazaji elimu ya uraia pekee hautoshi kusahihisha kasoro hii.

Nadhani dawa pekee ya kudumu ya kuondoa apathy hii ni kwa kuchagua vyama vya siasa 2 vyenye nguvu nchini na kuvibrand kwa majina ya timu 2 kongwe za soka nchini za Yanga na Simba (ambavyo hivi vina historia ya kushiriki harakati za siasa wakati wa kudai uhuru).

Hii itasaidia nchi kuwa kama US na UK ambako vyama vyenye nguvu kubwa ni 2@.

Kwa njia hii ari ya kisiasa itarejea kama ya wakati wa kudai uhuru.

Watu wa rika zote hata watoto watakuwa active kisiasa.

Vyama husika vitakuwa na wafuasi wengi.

Vyama vitakuwa na ukwasi mkubwa.

Wanachama watajiunga na vyama kwa kuzingatia mapenzi yao kwa timu za mpira wa soka.

Itakuwa vigumu kwa wazungu kuua vyama hivi kama walivyoua vyama kongwe vya ukombozi Afrika.

Chagizo za madai ya agenda za kitaifa kama katiba mpya zitafanikiwa.

Itakuwa ndiyo njia pekee na salama ya kukiondoa CCM madarakani (kubadilisha mboga)
 
Back
Top Bottom