Namna ya ku-install whatsapp kwenye Ipad!

nkuwi

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
4,771
5,315
Wakuu wa Jukwaa hili amani kwenu nyote!

Naomba msaada wenu namna ya ku-install whatsap kwenye IPAD!

Natanguliza shukrani.

cc RGforever
 
Last edited by a moderator:
by Sigma;
Mh!
ngumuje,
sina iPhone,
ingeingiliana na android au windows phone labda
.



Mkuu Sigma ni ngumu but ngoja niendelee kujaribu hizi procedures alizozitoa mkuu FF#

Ukipata nyingine simple zaid plz nijulishe!
 
Last edited by a moderator:
hizo procedure kwenye hiyo link ya faiza zinamaliza kila kitu.. hakuna njia nyingine
 
Ni rahisi ila inachukua muda ..kwanza unatakiwa uwe na iphone 4s nakuendelea,ambayo iko jail stil yenye whatsapp pili uwe na pc yenye latest itune na ifunny box ,then utacopy whatsapp kwenye pc yako ukitumia ifunny box kutoka kwenye iphone,then disconnect i phone, kisha connect ipad yako kisha install iyo whatsapp ambayo ipo kwenye pc yako..me nimefanya ivyo adi sasa natumia whatsapp kwenye ipad 3.
 
hiyo njia ikikuzingua kuan shortcut ila unahitaji uwe na jailbroken ipad... hautohitaji iphone ya mwenzako.. utakachohitaji ni internet tu unadownload tweak kutoka Cydia then unainstall whatsapp kwa kutumia computer.. kama uko tyr kujailbreak iPad yako au ka ushajailbreak naweza kukusaidia njia hiyo
 
Back
Top Bottom