Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
khaaa! umesahau jinsi nilivyokuomba msamaha siku ile????
Hahah.... Msamaha mpaka uambiwe na kuombwa uuombe lol
khaaa! umesahau jinsi nilivyokuomba msamaha siku ile????
gfsonwin kumbe mnajijua eee
Wapo hao bana yaani yeye hata kama ni kaugomvi kadogo utamjua tuu mume akipandisha sauti na yeye anapandisha
hana cha kujishusha mbele ya mume wala watoto na kwake yeye always yuko right
Kuomba kwake msamaha ni nadra sana maana kwake huo msamiati haupo
kuliko kuomba msamaha bora tu useme
ukweli kuwa 'huna uhakika hutarudia tena'
anything is possible...
tatizo unakuta mwingine ndo tabia yake so inabidi umuelewe, umkubali vile alivyo na ajitahid kumrekebisha polepole.
Ikishindikana unakubaliana na hali na maisha yanasonga.
Hahah.... Msamaha mpaka uambiwe na kuombwa uuombe lol
unless if you don't want.
most people are sorry for being caught
and not sorry for what they have done
sijawah kuambiwa niombe msamaha, hata siku moja this thing must come direct from ma heart and to one i love nitajitetea hadi tone la mwisho kwa upole na hekima ili nisimkose. wafanya mchezo na kuachika eeh! pasikie kwa mwingine aisee inauma.
most people are sorry for being caught
and not sorry for what they have done
Unafikiri ni muda gani mzuri wa kuomba msamaha? Ulipotenda kosa kabla hujastukiwa? Au unapostukiwa umetenda kosa? Na ukistukiwa umetenda kosa, ukaambiwa kosa lako ukalikana mpaka unapothibitishiwa kosa lako utaombaje msamaha? Na kama una makosa mengine uliyoyafanya bado utaendelea kuyaficha ukisubiri uthibitishiwe ndo uombe msamaha?
muda mzuri sana ni pale unapoambiwa kosa lako lakini pia lazima uwe na tekniki kwamba nikikurupuka kukiri tu hatima yake ni nini? so unapima kwanza kina cha maji ukiona kiko deep ndipo unapokiri kosa la ukweli na kuomba msamaha na hii humfanya aliyekosewa kuona jinsi gani ambavyo wewe una pigania penzi kama hujui. wafikiri watu kanini wanajitetea? wanapigania penzi asikwambie mtu.
Hujajibu maswali yangu yote.
read btn the lines Asprin na kwa kipengele cha mwisho lazima uwe ni mtu ambaye ni very trustful kwani hakuna maana yeyote ya kufunika moto kwa gunia.naamini hadi nafika kukiri na kuomba msamaha nimesha jifanyia tahmini ya mienendo yangu na kwanini kuishia kutenda kosa husika so nitatafuta njia ya kutoka hapo na siyo kuficha mengine. so sitosubiri makosa mengine