waza_makubwa
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 215
- 76
nilikuwa nikizikosa mada zenu kwa mda kadhaa sasa. Nimeamua kuachana na mitandao mingne ya kjamii na kuja ktk ksima cha fkra pevu tushirikiane kwa pamoja. Nawapenda nyote wanaJamii Forum
Nasi twakupenda pia...karibu sana Jf