Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
then wanalilia misaada kila sikuKuna mtu anapokea ten percent ya hilo deal hapo kila mwezi hebu jiulize ni tumilioni tungapi
then wanalilia misaada kila siku
na sisi tumenyamaza kimya na kura tunawapa kila term...wanatugea kofia na t shirt..ndio maana wazungu wanatudharau na kututaka tuhahalishe ushoga sasa sijui hao mashoga watafungishwa ndoa na nani ..usishangae likaibuka kanisa ambalo linafungisha ndo za mashoga na wazungu wakalikingia kifua ..Wanatembeza bakuli la kuomba
Serikali inailipa IPTL na then IPTL inaiuzia Tanasco umeme ambalo ni shirika la serikali hiyo hiyo na then tanesco wanamuuzia umeme mwananchi wa kawaida
ushaona wapi serikali inatoa pesa kujinunulia kitu yenyewe
utachukuaje wakati umeshika makali dada yangu huku wao wameshika mpini...sanduku la kura hatuwezi kulitumia vizurimh? hapo lazima kuna chukua chako mapema
na sisi tumenyamaza kimya na kura tunawapa kila term...wanatugea kofia na t shirt..ndio maana wazungu wanatudharau na kututaka tuhahalishe ushoga sasa sijui hao mashoga watafungishwa ndoa na nani ..usishangae likaibuka kanisa ambalo linafungisha ndo za mashoga na wazungu wakalikingia kifua ..
utachukuaje wakati umeshika makali dada yangu huku wao wameshika mpini...sanduku la kura hatuwezi kulitumia vizuri
yap ..nafikirui tunavyopigika sasa hivi mwaka 2015 tutakuwa tushaamkahiyo ni njia mojawapo ya kuilipa dowans kisirisiri
tufanye kweli 2015
Wanatembeza bakuli la kuomba
Serikali inailipa IPTL na then IPTL inaiuzia Tanasco umeme ambalo ni shirika la serikali hiyo hiyo na then tanesco wanamuuzia umeme mwananchi wa kawaida
ushaona wapi serikali inatoa pesa kujinunulia kitu yenyewe
hiyo ni njia mojawapo ya kuilipa dowans kisirisiri
tufanye kweli 2015
sawa sawa
tunaarudisha hela ya kampeni 2005
kama ni pepa umepiga 100 kamaTanzania :washing: