Namchukia Jakaya Kikwete

Siku atakapozaliwa mwanangu ingawa atakua mchanga na haelewi, nitamweleza Adui namba moja katika maisha yako yote ya duniani ni CCM, na Mafans wake wote. Daima CCM ni Nyoka, Shetani, Filauni, Kenge mbaya kabisa Hapa Ulimwenguni.
 
Aisee poleni sana

Ila mimi nimefurahi kupita kiasi .......................... MAPINDUZII!!!!!!!!!!!!!!!!! DAIMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

teh teh.,....POLENI SANA MTAZOEA

BORA WAAMBIE KIKWETE NDIO RAIS WA WOTE KWANZA NI MVUMILIVU PALE CHIMWAGA WALIMCHAKACHULIA KURA ZAKE WAKAMPA MKAPA LEO ETI SLAA HATA KUKUTANA NAE HATAKI WAKATI HISTORIA INAMSUTA ALIKUWA TANU - CCM KURA ZA MAONI ZIKAMKIMBIZA BAADA YA QORRO KUPEWA KURA ZA MAONI MBULU
JAMANI KIKWETE ATATUONGOZA NAMPENDA :evil::evil::evil::evil::evil::evil:
 
Hii kitu inatisha sana! leo nimeongea na dada wa rafiki yangu ati anasema hakumpigia kura Dr Slaa kwa sababu ni mkristo na nikasikitika sana! huyu mama ana maisha mabaya sana jamani! nikamuuliza hiyo ndiyo sababu?? akasema ndiyo! nikamuuliza sasa CCM imekufanyia nini unieleze akasema wizi na sioni kama kuna yeyote hao wanaotafuta kura kuwa hawatoiba sasa sioni sababu ya kuwapigia!! aaaarghh! nikashindwa nimuelimishaje huyu mama nikamuaga sikuona kama naweza mumsaidia!

Sasa nasubiri atupigie simu aseme kuwa ana matatizo hapo ndio atanijua! Kwa hivyo kwa harakaharaka nikaona kuwa wapo wengi kama hao TZ ambao hawana elimu ya uraia kabisa na wanahitaji msaada wa someone who is very Patience na mbaye ni strong minded! It's so sad!
 
Ndugu yangu LTC,
Kuna watu wana elimu ya uraia, lakini maamuzi yao yanashangaza mno linapokuja suala la kuchagua viongozi. Kuna dada mmoja msomi (ana shahada ya kwanza ya Sheria) alimpigia kura Kikwete eti ni kwakuwa anapendeza kidogo kwenye picha kuliko Slaa! yaani amechagua sura badala ya kiongozi!

Pia my wife wangu, kajiendea shule pia, Urais kampa Slaa, Ubunge kampa Chadema, Udiwani kachagua aliyekura na sura nzuri ndo kampigia. Tuna safari ndefu mnooooo
 
Inaelekea wewe handsome vinginevyo huyu mke angekumwaga! That said, mpe shule mkeo apate kujua thamani ya kura yake
 
Like Father,Like Mother,Like son I Hate them,
The Slogans......Kwa ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya
The Slogans.......Shuka kwa shuka
........................Kitanda kwa Kitanda
What is this all about with Tanzanians Politics?
...............I HATE THEM TOO
 
Mimi nimesema kuanzia sasa atakaye nililia shida afu nigundue alikuwa anamshabikia kikwete namwambia nenda kwa kikwete atakusaidia...Maana bila kutumia mbinu kama hizi watu watazidi kuwa wajinga
 
Mtu yoyote anaye mpenda Mungu ni lazima atachukia dhambi ya wizi wa EPA, kagoda,Richimond n.k
Nampongeza Mabere Marando kwa kusema kweli juu ya Wahusika wa EPA na kumutaja hadharani JK ambapo mpaka sasa hajakanusha .
Huo ndio mwanzo wa mimi kumuchukia JK , Lowass, Rostam kabla hawajaiba kura!!!
 
Kwa nini waliotuibia wanaendelea kututawala na kutumia fedha walizotuibia kuhonga ilikupata madaraka kwa Mungu. Chenge kaiba kwenye Rada ana kesi ya mauaji na sasa anataka Usipika!!. Lowasa na Rostam wanapanga mipango yao kuvuruga nafasi ya Spika na Waziri mkuu wakati wao ni Mafisadi wakubwa!! Na JK hachukui hatua kuwakemea na hivyo kuongeza chuki .Hata kama PCCB wameshindwa kumutia hatiani CHENGE Mungu kamutuhumu kwani PCCB hakuwepo wakati wa SODOMA NA GOMOLA likini wauaji kama KAINI , wezi walihukumiwa:israel:
 
huwezi kumuomba Mungu kwani hata SHETANI HAJAPEWA KUTUBU!!! HII NI KWA SABABU AMEKITHILI!!!!!
 
Sio vizuri kuwa na chuki ya namna hiyo kwa kiongozi wa nchi. Inabidi tuvumilie tu kwa muda huu uliobaki aondoke zake kwa amani!
 
Nadhani hata yeye sasa anajua wanaomchukia ni wengi. Ndiyo maana ameliagiza jeshi liwe standby kwa lolote. Najiskia vibaya kutumia neno hili ila ndiyo ukweli kwamba namchukia mno. Na kujitokeza kwa Chenge hadharani huku akiwa na support kubwa ya akina Makamba nazidi kuona Kikwete na CCM yake hawaitakii mema nchi yetu.
 
BORA WAAMBIE KIKWETE NDIO RAIS WA WOTE KWANZA NI MVUMILIVU PALE CHIMWAGA WALIMCHAKACHULIA KURA ZAKE WAKAMPA MKAPA LEO ETI SLAA HATA KUKUTANA NAE HATAKI WAKATI HISTORIA INAMSUTA ALIKUWA TANU - CCM KURA ZA MAONI ZIKAMKIMBIZA BAADA YA QORRO KUPEWA KURA ZA MAONI MBULU
JAMANI KIKWETE ATATUONGOZA NAMPENDA :evil::evil::evil::evil::evil::evil:

Mh hueleweki, weka nukta au , katika sentensi zako labda zitaleta maana:bowl::bowl::bowl:
 
Kwali msameheni bure maana hata amri kubwa ya mungu ni upendo na anasema mpende adui yako kama unavyojipenda wewe.na pia anasema unawezaje kusema unampenda yeye wakati ndugu yako unayemuona kwa macho humpendi? Tafakari! Usimchukie mtu chukukia matendo yake na kazi zake mbovu anazofanya then samehe.
 
Toka kumalizika kwa zoezi la uchaguzi na kutangazwa matokeo ya Udiwani, Ubunge na Urais, namchukia sana Kikwete. Sipendi na wala sitaki hata kuona picha yake, wala kusikia habari zake mahali popote. Ninakacha kuangalia taarifa za habari kwenye Runinga, sisikilizi habari kwa njia ya Radio; na magazeti ndio sitaki kununua kabisa kwa kuchelea kukutana na habari zake.

Amenifanya niwe na wakati mgumu na hii yote ni kwa sababu ametumia madaraka yake vibaya kwa kushirikana na NEC na hao wengine, kuchakachua kura za watanzania.
Nahisi dunia inaenda mbele nyuma. Sijui wenzangu hali ikoje kwenu?

Nakusii usiache kupata habari zake kwani ili umfahamu vizuri sana basi soma na sikiliza habari zake na yeye mwenyewe - info is power.
 
Back
Top Bottom