Mountainmover
Member
- Nov 9, 2010
- 46
- 9
Chuki yako haisaidii lolote! Hebu acha kuwa emontional inaondoa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi..
Usalama wa taifa na ongezeni ulinzi kwa our President, I love u JK, but usikumbatie mafisadi!
naogopa ban, ila natamani bongo iwe kama durfur kwa masaa 12 2*Tufaanyeje jamani tuondokane na huyu kiumbe? I wish Tanzania ingekuwa Palestina.
mimi ndio namuona kama kimba.
Toka kumalizika kwa zoezi la uchaguzi na kutangazwa matokeo ya Udiwani, Ubunge na Urais, namchukia sana Kikwete. Sipendi na wala sitaki hata kuona picha yake, wala kusikia habari zake mahali popote. Ninakacha kuangalia taarifa za habari kwenye Runinga, sisikilizi habari kwa njia ya Radio; na magazeti ndio sitaki kununua kabisa kwa kuchelea kukutana na habari zake.
Amenifanya niwe na wakati mgumu na hii yote ni kwa sababu ametumia madaraka yake vibaya kwa kushirikana na NEC na hao wengine, kuchakachua kura za watanzania.
Nahisi dunia inaenda mbele nyuma. Sijui wenzangu hali ikoje kwenu?
Mundu mimi nahisi wewe humchukii kama mimi tena umechelewa sana kumchukia. Kiwango ninachomchukia mimi ni kikubwa kiasi kwamba hata kutumia neno "namchukia" naona kama haitoshi, nakuwa sijamtendea haki. Infact chuki yangu kwake haijaanza wakati wa uchaguzi huu bali toka nilipogundua kwamba Jakaya Mrisho Kikwete haipendi Tanzania wala watanzania maskini isipokuwa familia yake, marafiki zake including wanamtandao na mafisadi kadhaa. Kama nitaambiwa anaipenda Tanzania na watanzania basi nitaomba nisaidiwe maana mpya ya neno kupenda.Nina mifano lukuki ya kulithibitisha hili kwamba jk haipendi Tanzania wala watanzania maskini.
Ninamchukia sana huyu baba I wish hakuomba ridhaa ya kuliongoza Taifa hili zuri. Ila kuna kipindi huwa ninamsamehe bure kwani ninahisi haoni link (correlation) iliyopo kati ya yeye kucheza na rasilimali za nchi hii na vifo visivyo vya lazima vya watanzania wenzetu especially kina mama na watoto under 5. Otherwise angeiona link iliyopo I'm sure hata kama angekuwa na matatizo ya akili angechukua hatua japo kidogo.
At times hata dunia huwa siielewi kabisa. Kwamba wako tayari kumchukulia hatua Elabashiri wa Sudan kwa kuruhusu mauaji ya Darful lakini hawako tayari kumchukulia hatua mtu kama Kikwete, Mugabe na wengineo ambao wanaruhusu vifo vya kizembe kwa akina mama kwa kukosa huduma wakati wa kujifungua na watoto wasio na hatia maskini kutokana na curable diseases simply sababu viongozi hawa hawana priorities kwani mabilioni katika nchi hizi yanaliwa na wachache huku huduma muhimu kama afya zikikosa pesa za kutosha kuziendesha. Kwa takwimu za Tanzania nadhani ni akina mama zaidi ya 500 katika 100,000 hufa kila mwaka kutokana na ukosefu wa huduma wakati wa kujifungua. Dunia haina shida na akina mama hawa wanaokufa vifo visivyo vya lazima ila tu watu wanaokufa kwa bunduki kama kule Darful ndio tatizo kwao na wako tayari kumchukia hatua rais wa nchi.
mafisadi wasipewe uongozi
Mimi ndo kabisa, NAMCHUKIA KUPITA KIASI! Sitaki kuona wala kusikia Gazeti ama Redio ikitaja jina lake, wakianza tu habari zake nabadili channel.
Natamani ningekuwa SNIPER!!:laser:
Labda hujui chuki yako inasababishwa na nini!!!!!! lakini jiulize vizuri moyoni na utagundua ni DHAMBI ya udini ndio inayokutesa. hakika wale wote waliopandikiza dhambi hii kupitia madhabahu wanatakiwa kuteketezwa kimyakimya kwani mbegu walioipanda haitakiwi kuota na kutokeza juu ya ardhi ya watanzania... kama unadhani nakuonea,,,,,, naomba nikosoe kwa huu ushahidi hapa chini.....Notradamme una matatizo makubwa sana, actually nakushauri haraka iwezekanavyo ukawaone wataalamu wa tiba za akili ili waucheck ubongo wako vinginevyo siku si nyingi hata hiyo keyboard hutaweza kuitumia.
Jaribu kuisoma tena between lines post yangu na uniambie ni wapi nimegusa issue ya dini. By the way wewe umeijuaje dini yangu na kwamba ninamchukia kikwete kwa sababu ya dini yake?Ni nani alikuambia kwamba nickname ya Bobby inasimama badala ya ukristo? Ninakushauri kama nilivyokushauri last time, please kabla hujanijibu uwe unajipanga, naomba please njoo na hoja za msingi sio na huu upupu wako wa siku zote. Nina mambo mengi ya kufanya na ukiendelea na huu upupu wako nitakuweka kwenye ignore list.
Jakaya Mrisho Kikwete NINAMCHUKIA SANA NA NITAENDELEA KUMCHUKIA MPAKA PALE ATAKAPOACHA KUWATUMIKIA MAFISADI NA KUWATUMIKIA MASKINI WA NCHI HII WANAOOGELEA KWENYE UMASKINI ULIOKITHIRI HUKU WENGI WAKIPOTEZA MAISHA KWA VIFO VISIVYO VYA LAZIMA. Kwa leo ninakupa mifano mitatu tu kwa nini ninamchukia kupita maelezo jk.
1. Wakati tuna idadi kubwa ya watoto wanaosoma huku wakiwa wamekaa chini, si Tandahimba wala Nkasi pekee bali hata Mbagala just a kilometre toka Ikulu. Na mama mmoja kwa kila saa hapa nchini anakufa kwa kukosa huduma wakati wa kujifungua, jk amekarabati ikulu kwa billion 29 pesa za kitanzania, hii ni kwa mujibu wa report ya CAG. Mkapa alikarabati kwa billion 4 na alimaliza ukarabati sasa sielewi hiyo billion 29 imefanya kazi gani may be wewe unajibu kwenye hili.
2. jk bila aibu amejenga 9 presidential houses msoga, ujenzi huu ulianza mara tu alipoingia Ikulu. Wanakiji wa Msoga waliambiwa kwamba ni ikulu inajengwa na serikali. Niambie ikulu zilizojengwa na waliomtangulia maeneo waliyotoka. Mbinafsi kama huyu mimi nimkubali wa nini? Wewe ni shahidi pia namna ambavyo serikali inavyoendeshwa kwa gharama as if uchumi wetu unashindana na marekani. Mashangingi, safari za nje, chai ya biilion 30 na kadhalika. Yaani upuuzi wote huu nimpenda jk? No please i cant hata kwa risasi.
3. Serikali ya jk kama vile imeweka pamba masikioni mwaka jana peke yake imetoa msamaha wa kodi billion 700. Niambie pesa hii ingeweza kuokoa maisha ya akina mama wangapi wanaokufa kila saa? Au wale watoto 80 under 5 wanaokufa kila siku wangapi wangesalimika maisha yao? Au hata tungeweka kwenye madawati unadhani tungekuwa hata na mtoto mmoja anayesoma sakafuni?
Hii ni sehemu ndogo sana ya kwanini ninamchukia sana sana jk. Sijagusa utajiri usiomithilika wa ridhiwan aliouchuma ndani ya miaka mitano pekee. Kwa style hii unataka nimpende kweli jk who is never serious na maisha ya watanzania maskini? Issue ya udini iweke kando kwani jk ninasali naye msikitini ila tofauti kubwa kati yangu na yeye ni kwamba mimi ninawapenda sana watanzania na ninajisikia vibaya sana sana wanapoogela kwenye umaskini wakati Mungu aliwapa kila kitu jamani.
labda hujui chuki yako inasababishwa na nini!!!!!! Lakini jiulize vizuri moyoni na utagundua ni dhambi ya udini ndio inayokutesa. Hakika wale wote waliopandikiza dhambi hii kupitia madhabahu wanatakiwa kuteketezwa kimyakimya kwani mbegu walioipanda haitakiwi kuota na kutokeza juu ya ardhi ya watanzania... Kama unadhani nakuonea,,,,,, naomba nikosoe kwa huu ushahidi hapa chini.....
nani adui yetu??? Mkapa au kikwete????
1.maliasili(misitu, madini, samaki na wanyamapori) vilianza rasmi kuvunwa chini ya serikali ya mkapa kupitia mikataba isiyo na tija kwa taifa ambayo tunailalamikia hadi leo.kabla ya hapo hapakuwa na uvunaji wa kiwango hicho.
2.elimu nayo ilisambaratika katika utawala wa mkapa(kumbuka sakata la ubadilishaji wa mitaala),matumizi ya vitabu tofauti katika mashule,ufutaji wa michezo shuleni, kuzipigia chapuo shule binafsi na kuzinyima ruzuku shule za serikali.
3.usafirishaji nao ulisambaratishwa kwa makusudi kipindi cha mkapa kwani atc,trc,tha,ttbsltd, kamata na uda vilimalizwa na vimeshindwa kurudi hadi leo.
4.mwasiliano je???? Kila mtanzania ni shahidi wa jinsi mkapa na serikali yake walivyolifilisi shirika la simu ttcl na jinsi ambavyo wametumia ghilba kuiondoa celtel-(sasa zain) kutoka mikononi mwa ttcl na kuwa mali ya kikundi kidogo cha watu.
5.nishati nako vipi????? Mnakumbuka iptl?? Ni kipindi cha uongozi wa mkapa ambapo tanesco waliingia mikataba ya kifisadi iliyochangia kuyumba kwa kiasi kikubwa sana kwa tanesco mpaka kupelekea kashfa nyingine kama za richmond.
6. Kuhusu maji???? Ni edward lowwasa aliyefuta mikataba ya kifisadi kati ya wadau na wawekezaji(kumbuka kasheshe la dawasa kuvununja mkataba na wawekezaji)lakini upuuzi wote ulifanyika chini ya mkapa.
7.maadili ya watanzania kama taifa yaliingia kwenye majaribu kusamabaratika kipindi cha mkapa
8.kuhusu ufisadi ndio usiseme kabisaaaaaa,,,,, kwani deep green,meremeta,epa,kagoda na uuzaji wa nyumba za serikali uliratibiwa na kutekelezwa chini ya serikali ya mkapa.
9. Kuhusu ulinzi na usalama,,,, ni kipindi cha mkapa ambapo polisi na wahalifu walikuwa wakisaidiana katika kazi zao kiasi cha askari kuwa walinzi wa wanyan'anyi na wananchi wakibaki hawana usalama,
nahitimisha kwa kusema!!!!!! mwindaji akienda porini na mbwa wake kwa ajili ya kuwinda, ni mbwa anayefanya kazi ya kunusa ,kumkimbiza ,mpaka kumkamata mnyama, mwindaji atakachofanya ni kuchinja mnyama na kubeba nyama kwenda nyumbani ambapo pamoja na rafiki zake na wanafamilia watakula nyama yote na kubakiza mifupa na makombo kisha humtupia mbwa. Naye mbwa ataona amethaminiwa na ataonyesha furaha yake kwa kutingisha mkia kwa shukrani.
mkapa amewaachia uwanja wa mpira na daraja la mto rufiji kama makombo ili wale wenye silka za mbwa watingishe mikia kwa furaha wakati minofu yote(nishati,madini,maliasili, misitu,viwanda,mawasiliano) amekula yeye,familia yake na marafiki zake,
sikukatazi kumchukia kikwete,,, ila nawe tuambie ukiambatanisha na ushahidi juu ya nini kibaya alichoifanyia hii nchi zaidi ya mema na jitihada za kurekebisha yale aliyoharibu mkapa.
kama utaruhusu imani(imani za mapokeo ya kikoloni) ziuathiri ubongo wako kiasi cha kushindwa kuona ubaya wa mkapa kwa sababu tu muumini mwenzako na kumchukia kikwete eti kwa sababu ya tofauti ya imani,, basi wewe utakuwa mtumwa wa kifikra wewe na kizazi chako chote.
Labda hujui chuki yako inasababishwa na nini!!!!!! lakini jiulize vizuri moyoni na utagundua ni DHAMBI ya udini ndio inayokutesa. hakika wale wote waliopandikiza dhambi hii kupitia madhabahu wanatakiwa kuteketezwa kimyakimya kwani mbegu walioipanda haitakiwi kuota na kutokeza juu ya ardhi ya watanzania... kama unadhani nakuonea,,,,,, naomba nikosoe kwa huu ushahidi hapa chini.....
NANI ADUI YETU??? MKAPA au KIKWETE????
1.Maliasili(misitu, madini, samaki na wanyamapori) vilianza rasmi kuvunwa chini ya serikali ya MKAPA kupitia mikataba isiyo na tija kwa taifa ambayo tunailalamikia hadi leo.kabla ya hapo hapakuwa na uvunaji wa kiwango hicho.
2.ELIMU nayo ilisambaratika katika utawala wa MKAPA(Kumbuka sakata la ubadilishaji wa mitaala),matumizi ya vitabu tofauti katika mashule,ufutaji wa michezo shuleni, kuzipigia chapuo shule binafsi na kuzinyima ruzuku shule za serikali.
3.USAFIRISHAJI nao ulisambaratishwa kwa makusudi kipindi cha MKAPA kwani ATC,TRC,THA,TTBSLTD, KAMATA na UDA Vilimalizwa na vimeshindwa kurudi hadi leo.
4.MWASILIANO JE???? Kila mtanzania ni shahidi wa jinsi MKAPA na serikali yake walivyolifilisi shirika la simu TTCL na jinsi ambavyo wametumia ghilba kuiondoa CELTEL-(SASA ZAIN) kutoka mikononi mwa TTCL na kuwa mali ya kikundi kidogo cha watu.
5.NISHATI NAKO VIPI????? mnakumbuka IPTL?? Ni kipindi cha uongozi wa MKAPA ambapo TANESCO WALIINGIA MIKATABA YA KIFISADI iliyochangia kuyumba kwa kiasi kikubwa sana kwa TANESCO mpaka kupelekea kashfa nyingine kama za Richmond.
6. KUHUSU MAJI???? NI edward lowwasa aliyefuta mikataba ya kifisadi kati ya wadau na wawekezaji(kumbuka kasheshe la DAWASA kuvununja mkataba na wawekezaji)lakini upuuzi wote ulifanyika chini ya MKAPA.
7.MAADILI ya watanzania kama taifa yaliingia kwenye majaribu kusamabaratika kipindi cha MKAPA
8.Kuhusu UFISADI ndio usiseme kabisaaaaaa,,,,, kwani DEEP GREEN,MEREMETA,EPA,KAGODA NA UUZAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI uliratibiwa na kutekelezwa chini ya serikali ya MKAPA.
9. KUHUSU ULINZI NA USALAMA,,,, ni kipindi cha mkapa ambapo polisi na wahalifu walikuwa wakisaidiana katika kazi zao kiasi cha askari kuwa walinzi wa wanyan'anyi na wananchi wakibaki hawana usalama,
nahitimisha kwa kusema!!!!!! mwindaji akienda porini na mbwa wake kwa ajili ya kuwinda, ni mbwa anayefanya kazi ya kunusa ,kumkimbiza ,mpaka kumkamata mnyama, mwindaji atakachofanya ni kuchinja mnyama na kubeba nyama kwenda nyumbani ambapo pamoja na rafiki zake na wanafamilia watakula nyama yote na kubakiza mifupa na makombo kisha humtupia mbwa. naye mbwa ataona amethaminiwa na ataonyesha furaha yake kwa kutingisha mkia kwa shukrani.
mkapa amewaachia uwanja wa mpira na daraja la mto rufiji kama makombo ili wale wenye silka za mbwa watingishe mikia kwa furaha wakati minofu yote(nishati,madini,maliasili, misitu,viwanda,mawasiliano) amekula yeye,familia yake na marafiki zake,
sikukatazi kumchukia KIKWETE,,, ila nawe tuambie ukiambatanisha na ushahidi juu ya nini kibaya alichoifanyia hii nchi zaidi ya mema na jitihada za kurekebisha yale aliyoharibu MKAPA.
Kama utaruhusu imani(imani za mapokeo ya kikoloni) ziuathiri ubongo wako kiasi cha kushindwa kuona ubaya wa MKAPA kwa sababu tu muumini mwenzako na kumchukia KIKWETE eti kwa sababu ya tofauti ya imani,, basi wewe utakuwa mtumwa wa kifikra wewe na kizazi chako chote.