Shozylin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 298
- 608
Ki mwonekano ni namba ya kawaida nilipo pokea nikajua nitakutana na sauti ya mtu, Cha ajabu naskia sauti ambayo tayari imerekodiwa mfano wa zile zinazo tumika kwenye mitandao ya Simu kwa ajili ya mwongozo kwa mteja.
Maswali yao ni haya.
1.Unaishi mkoa gani Kama ni kanda ya Kati huku wakiiitaja mikoa husika ya kanda hudika una bonyeza namba iliyo taja kanda yako. Kama ni 1,2,3 ...
2.Unamiriki TV yenye king'amuzi ?
Kama haumiliki unabonyeza namba 1.
Kama umiliki unabonyeza namba 2, Kama unamiliki Zaid ya king'amuzi kimoja unabonyeza namba 3
3. Je unamiliki Smartphone kati ya hizi, Kama ndiyo bonyeza moja Kama hapana bonyeza 2.
Wakataja orodha ya smartphone. Ikiwemo iPhone, Samsung, black Bell n.k
Je una umri wa miaka mingapi.?
Nikafanya Kama kawaida yao
Kisha wakanishikuru kwa ushirikiano na kuniaga. Kwa kusema tunashukuru kwa ushirikiano wako katika utafiti wetu.