Namba hii ya utafiti imenipigia simu.0746983500 nimeshindwa kujua wanajihusisha na utafiti gani

Shozylin

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
298
608
Ki mwonekano ni namba ya kawaida nilipo pokea nikajua nitakutana na sauti ya mtu, Cha ajabu naskia sauti ambayo tayari imerekodiwa mfano wa zile zinazo tumika kwenye mitandao ya Simu kwa ajili ya mwongozo kwa mteja.

Maswali yao ni haya.

1.Unaishi mkoa gani Kama ni kanda ya Kati huku wakiiitaja mikoa husika ya kanda hudika una bonyeza namba iliyo taja kanda yako. Kama ni 1,2,3 ...

2.Unamiriki TV yenye king'amuzi ?

Kama haumiliki unabonyeza namba 1.
Kama umiliki unabonyeza namba 2, Kama unamiliki Zaid ya king'amuzi kimoja unabonyeza namba 3

3. Je unamiliki Smartphone kati ya hizi, Kama ndiyo bonyeza moja Kama hapana bonyeza 2.

Wakataja orodha ya smartphone. Ikiwemo iPhone, Samsung, black Bell n.k

Je una umri wa miaka mingapi.?

Nikafanya Kama kawaida yao

Kisha wakanishikuru kwa ushirikiano na kuniaga. Kwa kusema tunashukuru kwa ushirikiano wako katika utafiti wetu.
 
Siku utakapoliwa kichwa mzima mzima ndipo utazikumbuka kampuni za DECI
 
Jana haraka unapo kaa
Ki mwonekano ni namba ya kawaida nilipo pokea nikajua nitakutana na sauti ya mtu, Cha ajabu naskia sauti ambayo tayari imerekodiwa mfano wa zile zinazo tumika kwenye mitandao ya Simu kwa ajili ya mwongozo kwa mteja.

Maswali yao ni haya.

1.Unaishi mkoa gani Kama ni kanda ya Kati huku wakiiitaja mikoa husika ya kanda hudika una bonyeza namba iliyo taja kanda yako. Kama ni 1,2,3 ...

2.Unamiriki TV yenye king'amuzi ?

Kama haumiliki unabonyeza namba 1.
Kama umiliki unabonyeza namba 2, Kama unamiliki Zaid ya king'amuzi kimoja unabonyeza namba 3

3. Je unamiliki Smartphone kati ya hizi, Kama ndiyo bonyeza moja Kama hapana bonyeza 2.

Wakataja orodha ya smartphone. Ikiwemo iPhone, Samsung, black Bell n.k

Je una umri wa miaka mingapi.?

Nikafanya Kama kawaida yao

Kisha wakanishikuru kwa ushirikiano na kuniaga. Kwa kusema tunashukuru kwa ushirikiano wako katika utafiti wetu.
Mh sikwaghile inyali nkamu🙉🙉🙉🙉
 
Wamekupa hela? Mimi kuna namba huwa inanitumia msg wananipaga vocha buku 2 au 3 mpaka 4.
Yale maswali yao ikiwezekana usijibu ukweli, jifanye huna maisha, elimu ya kati au ndogo.
Wakiuliza una tv waambie ipo. Watakuuliza chogo au flat waambie kichogo.
Umenunua? Waambie ya urithi.

Kuna muda ukijichanganya ukajibu una maisha, watakatisha wanakwambia ahsante kwa kushiriki. Tutakutafuta siku nyingine.
 
Litapigwa jitu aya,😂🙌
Endeleen na utafit
 
Jitu linakaribia kufa, katika nchi mbovu yenye viongozi makanjanja na wasio na utu.Unawezaje kujiachia hivyo.Utapigika
 
Huo ni utapeli wa kisasa subiri siku utakayo pigwa katafunua ndio uta jua hujui ita kua wezi wamekuja kisasa zaidi, wana chukua taarifa zako wana jua wata zitumia lini huoni wana ulizia mali tu, mara TV, mara simu ili? stuka mwanetu.
 
Wamekupa hela? Mimi kuna namba huwa inanitumia msg wananipaga vocha buku 2 au 3 mpaka 4.
Yale maswali yao ikiwezekana usijibu ukweli, jifanye huna maisha, elimu ya kati au ndogo.
Wakiuliza una tv waambie ipo. Watakuuliza chogo au flat waambie kichogo.
Umenunua? Waambie ya urithi.

Kuna muda ukijichanganya ukajibu una maisha, watakatisha wanakwambia ahsante kwa kushiriki. Tutakutafuta siku nyingine.
Wanahusika na Nini hawa watu mkuu?
 
Huo ni utapeli wa kisasa subiri siku utakayo pigwa katafunua ndio uta jua hujui ita kua wezi wamekuja kisasa zaidi, wana chukua taarifa zako wana jua wata zitumia lini huoni wana ulizia mali tu, mara TV, mara simu ili? stuka mwanetu.
Na Kama taarifa nilizo wapa sio kweli watanitapel vipi.?
 
TCRA ya bwana nyape hipo kwa ajili kupandisha bando sio namba maalumu
 
Back
Top Bottom