Namba hii ya simu inanisumbua.....

Mkuu kwa muonekano wa avatar yako naona itakuwa bado unatumia simu za zama hizoooo za ki-avataravatar yako na lazma isiwezekane ku-block namba ya mtu...SMART GUYS GO FOR SMART PHONES...hamieni kunako technolojia ya kisasa mupate mambo ya kisasa....NAAMINI MUMENIELEWA WOTE MUSIOWEZA KUBLOCK AU REJECT NAMBA ZINAZOWAKERENI

sio lazma smart phone,mm nina tecno 0707 lakin naweza ku block yoyote na pia nikiamua had uwe kwenye phoneböok yangu tu ndio sm yako inaingia
 
Back
Top Bottom