Nalipongeza gazeti la mwananchi

Alfred Ngowi

Member
Jan 8, 2012
50
4
Wana JF napenda kuchukua nafasi hii kulipongeza gazeti la mwananchi kwa kuwa gazeti la mfano katika siku za hivi karibuni. mfano wa kuigwa wa mwanachi kwa magazeti mengine. hivi karibuni kuna gazeti moja lilitangaza katika ukurasa wake wa kwanza juu ya kupanda kwa mishahara ya wabunge na siku zilizofuata taarifa hio kukanushwa. sasa najiuliza hizi taarifa zimetoka wapi? mhariri wa hili gazeti amesomea wapi? kwanini waziri wa habari hachukui hatua? ni maswali ambayo huwa najiuliza na sina majibu yake hata kidogo. Wadau naomba mnisaidie kwenye hili
 
Ungesifia tu na kutaja sababu zako tungekuelewa, lakini hapo hapo ukaponda jingine, tunajiuliza lengo lako.
 
Back
Top Bottom