October
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 2,145
- 92
Wana JF.
Kama kuna watu walikuwa wanasikia tetesi basi leo napenda kuweka bayana kuwa Mimi Hamad Moh'd Hafif Al- Mugheiry na wake zangu wawili .........sote kwa pamoja tunasafiri kwenda kwenye mji mtakatifu wa Makkah na Madinna kwa ajili ya kuhirimia Hijja.
Nawatakia barza njema
Du mara hii ushakifisha wawili?