Nakwenda Hijja Inshallah

Du, hii thread imeharibiwa hivi!!!
Yaani watu mambo wala hayawahusu...wamevamia na kuleta upuuzi wao.
 
hapana Junius, lazima kwenye safari kuwe na misukosuko kidogo na ndio ukamilifu wa safari.

Tuzidi kumuombea mwenzetu aende salama na Allah amuepushe na ashinde hila zote za shetani,
 
Bosi wako mzee Mwamedi anamtambua Roho Mtakatifu, itakuwa ya wewe?
"....Nami kabla sijaifikia Pepo, Naikurubisha roho yangu katika mikono ya Issa Ibn Mariam(yaani Yesu-Kristo)....Mwamedi"

Hata mimi namshangaa sana huyu jamaa. Waislamu wanadai kuwa Quran ilishushwa kwa Muhammad na Gabril ambaye Muhammad anadai ndo Roho Mtakatifu. Sasa huyu jamaa anafanya makufuru hapa hadharani kabisa. Lol! Yawezekana uislamu haujuwi vizuri huyu.
================================

Sura 2:97 says that Gabriel brought down the revelation to Muhhamad, while Sura 16:102 says it is the Holy Spirit. So Muslims say that "Holy Spirit" is just another name for Gabriel.

Hivi ndivyo waislamu wanavyoamini japo kuna mkanganyiko hapa. Muhammad naona alichanganya maboya hapa. Lol!
 
Sura 2:97 says that Gabriel brought down the revelation to Muhhamad, while Sura 16:102 says it is the Holy Spirit. So Muslims say that "Holy Spirit" is just another name for Gabriel
Kama haujui anakwenda kufanya nini makka? Maigizo au katafutia njia ya kupatia visa ya arabuni?
 
Hata mimi namshangaa sana huyu jamaa. Waislamu wanadai kuwa Quran ilishushwa kwa Muhammad na Gabril ambaye Muhammad anadai ndo Roho Mtakatifu. Sasa huyu jamaa anafanya makufuru hapa hadharani kabisa. Lol! Yawezekana uislamu haujuwi vizuri huyu.
================================

Sura 2:97 says that Gabriel brought down the revelation to Muhhamad, while Sura 16:102 says it is the Holy Spirit. So Muslims say that "Holy Spirit" is just another name for Gabriel.

Hivi ndivyo waislamu wanavyoamini japo kuna mkanganyiko hapa. Muhammad naona alichanganya maboya hapa. Lol!

Ima Unachanganya madawa au hjaelewa. Sasa nakuelewesha

WAISLAM TUNAAMINI TULIVYOACHIWA KAMA REFERENCE KWETU . NAVYO NI QUR'AN TUKUFU NA MATENDO YA RASUL MOHHAMAD S.A.W(HADITHI)

Sasa tueleze wapi katika Quran au Hadith panaposema kuwa JIBRIL ndie Roho Mtakatifu?
 
Kama haujui anakwenda kufanya nini makka? Maigizo au katafutia njia ya kupatia visa ya arabuni?

Acha chuki na wivu wa kijinga. yaani unachukia mimi pamoja na wake zangu na mtoto kwenda Hijja kisha kutembea kidogo Uarabuni.

Basi nawe omba Mola akusaidie japo utoke nje ya tanzania kwenda japo Nairobi na familia yako.
 
Ima Unachanganya madawa au hjaelewa. Sasa nakuelewesha

WAISLAM TUNAAMINI TULIVYOACHIWA KAMA REFERENCE KWETU . NAVYO NI QUR'AN TUKUFU NA MATENDO YA RASUL MOHHAMAD S.A.W(HADITHI)

Sasa tueleze wapi katika Quran au Hadith panaposema kuwa JIBRIL ndie Roho Mtakatifu?

Sasa kutokana na hizi sura mbili zenye mkanganyiko, hebu tuambie ipi ni sahihi? Je ni Gabriel au Roho Mtakatifu aliyeshusha hiyo quran (kama ilishushwa anyway)

[2:97] Say, "Anyone who opposes Gabriel should know that he has brought down this (Quran) into your heart, in accordance with GOD's will, confirming previous scriptures, and providing guidance and good news for the believers."

[16:102] Say, "The Holy Spirit has brought it down from your Lord, truthfully, to assure those who believe, and to provide a beacon and good news for the submitters."
 
Wana JF.

Kama kuna watu walikuwa wanasikia tetesi basi leo napenda kuweka bayana kuwa Mimi Hamad Moh'd Hafif Al- Mugheiry na wake zangu wawili Bi Kuruthum Suleiman Al yahayai na Bi Zelekha Khamis Al Harthy na bint yangu Mpenda Dr Mufiydat Hamad Al Mugheiry sote kwa pamoja tunasafiri kwenda kwenye mji mtakatifu wa Makkah na Madinna kwa ajili ya kuhirimia Hijja.

Kama ilivyo addah kuwa yeyote anaekwenda huko basi ni sharti pamoja na kuhakikisha kuwa wale wote wanaomtegemea kuwa hawata pata taabu kipindi yeye hayupo lakini pia unatakiwa uwaage ndugu, jamaa na marafiki wote na kupata radhwi zao.

Na mimi kwa niaba ya familia yangu nawaaga rasmi kuwa nakwenda hijja tarehe 10 Nov 2009 kwa yemen air na baada ya Ibada ya hijja nitakwenda kusalimia jamaa huko Muscat na Yemen na insh'Allah nataraji kurudi Tanzania mwishoni mwa December.

Nawatakia kila la kheir na naomba dua zenu katika safari yangu hiyo. Tuwiane radhi kwa niliowakosea na nimewawia radhi walionikosea.

Nawatakia barza njema
assalam aleykum.

ndugu nakutakia hijjatul mabruur wadhanbin maghfuur INSHALLAH. usitusahau kwa dua. na ningekushauri kwavile ushatia nia ya kwenda Hijja ni vyema ukajiepusha na hii thread kwavile tayari nahisi ishaanza kupotezwa lile lengo lako ulilolikusudia. Allah awe nawe wewe na familia yako na akumiminie kheri za dunia na akhera.Pia akupe subira na uvumilivu kwa kila aina ya maudhi utakayoyapata, hapa na huko safarini. amin
 
Uiombee nchi yetu ili Mafisadi walaniwe na wakome kuchukua kile ambacho Mwenyezi Mungu ametujaaalia. Ishallah utarudi salama

Ndugu sema awaombee mafisadi waongoke wajirudi na wawakinaike na kuchuma zile zile za haramu.
 
Bw Hafif Kwanza nakutakia kila la kheri, mwende na mrudi salama salmini. Nadhani ndugu Abadan amemalizia vizuri

Du, hii thread imeharibiwa hivi!!!
Yaani watu mambo wala hayawahusu...wamevamia na kuleta upuuzi wao.[/
Naye barubaru akajibu hivi
hapana Junius, lazima kwenye safari kuwe na misukosuko kidogo na ndio ukamilifu wa safari. Tuzidi kumuombea mwenzetu aende salama na Allah amuepushe na ashinde hila zote za shetani,

Abadan akamalizia hivi;
assalam aleykum.
Ndugu nakutakia hijjatul mabruur wadhanbin maghfuur INSHALLAH. usitusahau kwa dua. na ningekushauri kwavile ushatia nia ya kwenda Hijja ni vyema ukajiepusha na hii thread kwavile tayari nahisi ishaanza kupotezwa lile lengo lako ulilolikusudia. Allah awe nawe wewe na familia yako na akumiminie kheri za dunia na akhera.Pia akupe subira na uvumilivu kwa kila aina ya maudhi utakayoyapata, hapa na huko safarini. amin

Sidhani kama ninalo la kuongeza zaidi ya kukutakieni kila la heri na kusema usitusahau kwa dua!
 
Acha chuki na wivu wa kijinga. yaani unachukia mimi pamoja na wake zangu na mtoto kwenda Hijja kisha kutembea kidogo Uarabuni.

Basi nawe omba Mola akusaidie japo utoke nje ya tanzania kwenda japo Nairobi na familia yako.
:DWivu wapi bana!

Si nilisema unakwenda vacation saudi ya waarabu? kosa langu nini?

Sikiliza mimi sina wivu wa kwenda huko Arabuni. Na ajabu sina hata shauku ya kwenda Saud Arabia kutalii maana joto na shida kibao tu kimazingira na ndio maana utavaa shuka jeupe siku zote utakazokaa huko. Najua suluari utaiacha airport . Nadhani huu si muda muafaka wa vacation kihali hewa.

Tena huko umangani nimetembelea sana kibiashara. Hasa Dubai na mascat, nimetembelea mara kibao. Kama si kufanya shopping si sehemu ya kutembelea kule. Joto mtindo mmoja. Na kelele za adhana mji wote kila wakati.

Anyway vacation njema. Angalia wale waislamu wasije kukupiga mawe wakidhani wewe ndiwe shetani! Maana nasikia wanapiga mawe pale Saudia kila wanayedhani ni Shetani wakati in the real sense shetani ni spirit si mtu.
 
Wana JF.

Kama kuna watu walikuwa wanasikia tetesi basi leo napenda kuweka bayana kuwa Mimi Hamad Moh'd Hafif Al- Mugheiry na wake zangu wawili Bi Kuruthum Suleiman Al yahayai na Bi Zelekha Khamis Al Harthy na bint yangu Mpenda Dr Mufiydat Hamad Al Mugheiry sote kwa pamoja tunasafiri kwenda kwenye mji mtakatifu wa Makkah na Madinna kwa ajili ya kuhirimia Hijja.

Kama ilivyo addah kuwa yeyote anaekwenda huko basi ni sharti pamoja na kuhakikisha kuwa wale wote wanaomtegemea kuwa hawata pata taabu kipindi yeye hayupo lakini pia unatakiwa uwaage ndugu, jamaa na marafiki wote na kupata radhwi zao.

Na mimi kwa niaba ya familia yangu nawaaga rasmi kuwa nakwenda hijja tarehe 10 Nov 2009 kwa yemen air na baada ya Ibada ya hijja nitakwenda kusalimia jamaa huko Muscat na Yemen na insh'Allah nataraji kurudi Tanzania mwishoni mwa December.

Nawatakia kila la kheir na naomba dua zenu katika safari yangu hiyo. Tuwiane radhi kwa niliowakosea na nimewawia radhi walionikosea.

Nawatakia barza njema

Pamoja na tofauti zetu za kiimani nakutakia wewe na familia yako safari njema. May the one & true God guide your way.
 
Sasa kutokana na hizi sura mbili zenye mkanganyiko, hebu tuambie ipi ni sahihi? Je ni Gabriel au Roho Mtakatifu aliyeshusha hiyo quran (kama ilishushwa anyway)

[2:97] Say, "Anyone who opposes Gabriel should know that he has brought down this (Quran) into your heart, in accordance with GOD's will, confirming previous scriptures, and providing guidance and good news for the believers."

[16:102] Say, "The Holy Spirit has brought it down from your Lord, truthfully, to assure those who believe, and to provide a beacon and good news for the submitters."

naomba nikufafanulie hapa. Lakin kabla kufanya hivyo naomba ujue kuwa wanasheria wanasema No equal translation. sasa kwa kuzingatia hilo ndio maana waislam wamelazimishwa kuswali kwa lugha ile ile aliyofundisha Mtume Mohammad S.A.W. Iwe china, urusi, UK, japan, Tanzania. Gabon na hata Misri wote watatumia kiarabu.

Nikija kwenye surat bakarah (2:97) hapo ukisoma kwa kiarabu ametajwa Jibril (ambaye kwa kiingereza anaitwa Gabriel)kama mjumbe aliyetumwa na Mola kuleta ujumbe kwa Mtume Mohammad S.A.W.

Na nikisoma sura 16:102 . Hapo umetajwa UJUMBE kwa kiarabu tunaita WAHYI au kwa kiswahili mnaita UFUNUO.

sasa kwa lugha nyepesi tunasema hivi
JIBRIL (Gabriel kwa kizungu) ni mjumbe anayetumwa kuleta wahyi
Riho mtakatifu hapo imetumika kama Wahyi (Ufunuo) au ile massage yenyewe.

ALLAHU YAALAMU
 
Kitendo alichofanya HM Hafif ni cha kiungwana na hastahili hizi kebehi zinazomwandama. Kama mtu haupendezwi na mtu kwenda Hijja basi ungenyamaza au ungeanzisha thread ya kuzungumzia ishu ya hijja. Hapa tumtakie safari njema na salama huyu mwenzetu anayetuaga.

Mkuu HM Hafif. Nakutakia Hijja njema na mrudi salama wote mnaoongazana huko.

Amandla.....
 
:DWivu wapi bana!

Si nilisema unakwenda vacation saudi ya waarabu? kosa langu nini?

Sikiliza mimi sina wivu wa kwenda huko Arabuni. Na ajabu sina hata shauku ya kwenda Saud Arabia kutalii maana joto na shida kibao tu kimazingira na ndio maana utavaa shuka jeupe siku zote utakazokaa huko. Najua suluari utaiacha airport . Nadhani huu si muda muafaka wa vacation kihali hewa.

Tena huko umangani nimetembelea sana kibiashara. Hasa Dubai na mascat, nimetembelea mara kibao. Kama si kufanya shopping si sehemu ya kutembelea kule. Joto mtindo mmoja. Na kelele za adhana mji wote kila wakati.

Anyway vacation njema. Angalia wale waislamu wasije kukupiga mawe wakidhani wewe ndiwe shetani! Maana nasikia wanapiga mawe pale Saudia kila wanayedhani ni Shetani wakati in the real sense shetani ni spirit si mtu.
Kisebusebu na kiroho papo.
 
naomba nikufafanulie hapa. Lakin kabla kufanya hivyo naomba ujue kuwa wanasheria wanasema No equal translation. sasa kwa kuzingatia hilo ndio maana waislam wamelazimishwa kuswali kwa lugha ile ile aliyofundisha Mtume Mohammad S.A.W. Iwe china, urusi, UK, japan, Tanzania. Gabon na hata Misri wote watatumia kiarabu.

Nikija kwenye surat bakarah (2:97) hapo ukisoma kwa kiarabu ametajwa Jibril (ambaye kwa kiingereza anaitwa Gabriel)kama mjumbe aliyetumwa na Mola kuleta ujumbe kwa Mtume Mohammad S.A.W.

Na nikisoma sura 16:102 . Hapo umetajwa UJUMBE kwa kiarabu tunaita WAHYI au kwa kiswahili mnaita UFUNUO.

sasa kwa lugha nyepesi tunasema hivi
JIBRIL (Gabriel kwa kizungu) ni mjumbe anayetumwa kuleta wahyi
Roho mtakatifu hapo imetumika kama Wahyi (Ufunuo) au ile massage yenyewe inayotoka kwa Allah na kubebwa na Jibril kumpelekea Mtume Mohhamad S.A.W.

ALLAHU YAALAMU

Shukran Sana Dr Hamza kwa ufafanuzi. Allah akubariki sana ammi
 
naomba nikufafanulie hapa. Lakin kabla kufanya hivyo naomba ujue kuwa wanasheria wanasema No equal translation. sasa kwa kuzingatia hilo ndio maana waislam wamelazimishwa kuswali kwa lugha ile ile aliyofundisha Mtume Mohammad S.A.W. Iwe china, urusi, UK, japan, Tanzania. Gabon na hata Misri wote watatumia kiarabu.

Nikija kwenye surat bakarah (2:97) hapo ukisoma kwa kiarabu ametajwa Jibril (ambaye kwa kiingereza anaitwa Gabriel)kama mjumbe aliyetumwa na Mola kuleta ujumbe kwa Mtume Mohammad S.A.W.

Na nikisoma sura 16:102 . Hapo umetajwa UJUMBE kwa kiarabu tunaita WAHYI au kwa kiswahili mnaita UFUNUO.

sasa kwa lugha nyepesi tunasema hivi
JIBRIL (Gabriel kwa kizungu) ni mjumbe anayetumwa kuleta wahyi
Roho mtakatifu hapo imetumika kama Wahyi (Ufunuo) au ile massage yenyewe inayotoka kwa Allah na kubebwa na Jibril kumpelekea Mtume Mohhamad S.A.W.

ALLAHU YAALAMU

Shukran Sana Dr Hamza kwa ufafanuzi. Allah akubariki sana ammi
 
Wana JF.

Kama kuna watu walikuwa wanasikia tetesi basi leo napenda kuweka bayana kuwa Mimi Hamad Moh'd Hafif Al- Mugheiry na wake zangu wawili Bi Kuruthum Suleiman Al yahayai na Bi Zelekha Khamis Al Harthy na bint yangu Mpenda Dr Mufiydat Hamad Al Mugheiry sote kwa pamoja tunasafiri kwenda kwenye mji mtakatifu wa Makkah na Madinna kwa ajili ya kuhirimia Hijja.

Kama ilivyo addah kuwa yeyote anaekwenda huko basi ni sharti pamoja na kuhakikisha kuwa wale wote wanaomtegemea kuwa hawata pata taabu kipindi yeye hayupo lakini pia unatakiwa uwaage ndugu, jamaa na marafiki wote na kupata radhwi zao.

Na mimi kwa niaba ya familia yangu nawaaga rasmi kuwa nakwenda hijja tarehe 10 Nov 2009 kwa yemen air na baada ya Ibada ya hijja nitakwenda kusalimia jamaa huko Muscat na Yemen na insh'Allah nataraji kurudi Tanzania mwishoni mwa December.

Nawatakia kila la kheir na naomba dua zenu katika safari yangu hiyo. Tuwiane radhi kwa niliowakosea na nimewawia radhi walionikosea.

Nawatakia barza njema

Nawatakia kila la kheri ktk ibada hii tukufu ya kukamilisha nguzo tukufu ya Kiislam.

Tanbihi; fanya mazoezi ya utajo ufuatao:-

"Labbayka-llaahumma Labbayka, Labbayka-llaashariika laka. Innal-hamda, Wanni'imata, Lakawal-mulki, Laashariika laka"
 
Back
Top Bottom