Nakusihi NILHAM RASHED

by the way just seen this somewhere thought i would share..... (Waiting for the Perfect Man ?)
skeleton-woman.jpg

khaa!
 
Mvuvi anapovua, samaki kukusanyika,
akikosa anajua, leo Mungu Hakutaka,
hawezi kujisumbua, kununa kukasirika
Lazima kitakufika, kile kilichoandikwa.

Mkulima hushtushwa, shamba moto likiwaka,
ajue akiulizwa, kama ametoa zaka,
asiseme kasakamwa, au mkosi umefika,
Lazima kitakufika, kile kilichoandikwa.


Biashara ikifanywa, na ukifungua duka,
kama hukufanikiwa, uache kunung'unika,
pengine hudhulumiwa, watu kwako hupunjika,
Lazima kitakufika, kile kilichoandikwa.


Yote yamesajiliwa, Mungu Ameshaandika,
kalamu kuinuliwa, wino umeshakauka,
kudura imeshapangwa, hakuna kubadilika,
Lazima kitakufika, kile kilicho andikwa.


Tangu bado kuzaliwa, vyote vimeandikika,
riziki imegawiwa, na ajali kadhalika,
utajiri ukipewa, usisahau sadaka,
Lazima kitakufika, kile kilicho andikwa.
x paster kumbe na wewe kiboko kwa mashairi kwa hakika hapa jamvini tuna malenga wakutosha.
 
Usishituke Hus.... Hiyo nimeiona somewhere..., kwamba huyo dada was waiting for the perfect man (since there is no perfect man) mpaka amezeeka amekuwa skeleton bado hajakutana na perfect man anayemtaka.... :)

How are you Anyway...
 
go for him,seems you have feelings for him,i heard you are from zenji, am not shocked when you say that he is still new,you know what you are doing....go go CPU

Now this is too much . . .
Oooooh! I cant believe u can talk to me dirty like dat . . .:A S cry:
 
Now this is too much . . .
Oooooh! I cant believe u can talk to me dirty like dat . . .:A S cry:

Am so sorry CPU,i did not intend to hurt you....i was joking,will have boundaries from now on......please forgive me.....
 
kaka sometimes i hate to call women bi***ches......... but bi***ches loves it!

Am sorry Hashy,honestly i did not think before i wrote that,am sorry that i have hurt you people....i won't do that again....

Do not insult all women because of my mistake......please.
 
Back
Top Bottom