Nakushukuru Sana Bakheresa na Azam TV kupunguza maneno ya wachambuzi

Hawajui lolote, zaidi ya kuleta taharuki Tu, wanajifanya kuchambua hata maamuzi ya marefarii Kwa mareo ya picha Tu!! kitu ambacho sio sahihi. Ongeza matangazo ya biashara.
Mpira bila wachambuzi haunogi bana. Zile porojo zinaleta utamu. Hawajakamilika ila wanaleta ladha kwenye soka.
 
Marefarii wangetumia tu rewind za TV za Azam kama VAR.
Ili kuboresha maamuzi Yao.

Timu ndogo zinanyimwa sana Haki dhidi ya hizo timu mbili kubwa.
Kwakuwa waamuzi wanaziogopa sana.
 
Hawajui lolote, zaidi ya kuleta taharuki Tu, wanajifanya kuchambua hata maamuzi ya marefarii Kwa mareo ya picha Tu!! kitu ambacho sio sahihi. Ongeza matangazo ya biashara.
Kutoa maoni Kwa kuangalia marejeo ya picha ni kosa? Unataka Watangazaji na wachambuzi wawe bendera fuata upepo? Acha ufala.
 
Hawajui lolote, zaidi ya kuleta taharuki Tu, wanajifanya kuchambua hata maamuzi ya marefarii Kwa mareo ya picha Tu!! kitu ambacho sio sahihi. Ongeza matangazo ya biashara.
Wewe utakuwa ni mwamuzi bila shaka. Maana umefurahi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom