Utaendelea kusubiri sana Makonda yupo na hautamuweza kamwe!Huyo kaingizwa kwenye 18. Usiwe na shaka. Watu siku hizi wanapigana kisayansi, siyo kwa kujimwambafai.
Wote hao akili zao moja sema mnajitia ujinga kuwatofautisha. Tena naweza kwenda mbali na kudiriki kusema CCM ZnZ wamezidi wenzao wa bara kwa jinsi walivyofanya CUF.Moja kwa moja kwenye mada
Huyo ni tatizo, ana a lot of criminal allegations, wewe ni mtu wa rule of law, huyo dogo hafuati utawala wa sheria. it is very difficult to deal with an ignorant person, ata kuharibia
Drop that non-sense, tafuta watu wenye kuendana na haiba yako, bado haujachelewa, dont hang with wrong people
nakushauri, unajiharibia sana
Sukuma gang and the rest of gangs hawakuwezi, wewe ndiye mwenye dola, neno lako ni sheria, nakwazika sana unaoposhindwa kufanya unalotakiwa kufanya
Chukua au acha, huo ndio ushauri wa MIXOLOGIST, nimemaliza
Hawa jamaa mara nyingi wana changamoto sana ya kutaka kumpangia Rais cha kufanya!Mh. Raisi Samia Suluhu Hassan is not stupid as you portray her to be.
On the other hand, you need to stop the non-sense za kufifisha kabila la Wasukuma to a gang.
STUPID
Nakazia hapaNadhani kwa tulipofikia, kama uraisi wa Magufuli ulikuwa ni wa kijangili, basi tumuombe Mungu tupate raisi jangilist mara angalau 10 zaidi, mapema iwezekanavyo kwaajili ya vizazi vijavyo.
Hatuwezi kupiga hatua yoyote positive kwa huu upuuzi wa unaoendelea! Kama anaweza kuwa 100% match kisha akazidisha kila kitu by 10, why not!
To hell with hiyo law na vifananavyo! Law ni nini kwanza? Moja ya vitu visivyo na hakika katika hii dunia ni law. Ni aghalabu kukuta wanahesabu na wafananao kuwa na mjadala usio na mwisho na kisha kukata rufaa etc.
Si law, utawala bora wala demokrasia, kwa tafsiri tunayolazimishwa kuielewa, itasaidia nchi yoyote Africa kukua na kuendelea! Hizo ni nadharia za kulinda kilichokwisha kupatikana.
- Slavery, wali-abolish baada ya kufaidika na wakaweka taratibu mtu mwingine asije faidika kwa kufanya hayo na kusababisha instability itakayowafanya wasile vinono vyao kwa amani.
- Japan waliweza kutokomeza malaria 19 kweusi huko, kwanini hatufanyi kama wao leo?
Kama Magu alikuwa dictator, tunahitaji atakayekuwa mara 100 yake!
Hahahahaa hii imekaa kiufundi zaidi. ShukraniUnamshauri mtu ambaye hata yeye ni tatizo? Kwa akili ya kawaida huwezi kumpa Bashite uongozi, huwezi
Mpaka limkute,Moja kwa moja kwenye mada
Huyo ni tatizo, ana a lot of criminal allegations, wewe ni mtu wa rule of law, huyo dogo hafuati utawala wa sheria. it is very difficult to deal with an ignorant person, ata kuharibia
Drop that non-sense, tafuta watu wenye kuendana na haiba yako, bado haujachelewa, dont hang with wrong people
nakushauri, unajiharibia sana
Sukuma gang and the rest of gangs hawakuwezi, wewe ndiye mwenye dola, neno lako ni sheria, nakwazika sana unaoposhindwa kufanya unalotakiwa kufanya
Chukua au acha, huo ndio ushauri wa MIXOLOGIST, nimemaliza
Sema unataka dictator,Tunataka mtu kama Magufuli, huyo ndio anafaa kuwa Rais, sio legelege. Tunataka awe dictator mara 100 ya JPM, kaama udikteta ndio unaafaida vile, basi tunataka tena dictator
Kumbe wenye akili bado mpo.Nadhani kwa tulipofikia, kama uraisi wa Magufuli ulikuwa ni wa kijangili, basi tumuombe Mungu tupate raisi jangilist mara angalau 10 zaidi, mapema iwezekanavyo kwaajili ya vizazi vijavyo.
Hatuwezi kupiga hatua yoyote positive kwa huu upuuzi wa unaoendelea! Kama anaweza kuwa 100% match kisha akazidisha kila kitu by 10, why not!
To hell with hiyo law na vifananavyo! Law ni nini kwanza? Moja ya vitu visivyo na hakika katika hii dunia ni law. Ni aghalabu kukuta wanahesabu na wafananao kuwa na mjadala usio na mwisho na kisha kukata rufaa etc.
Si law, utawala bora wala demokrasia, kwa tafsiri tunayolazimishwa kuielewa, itasaidia nchi yoyote Africa kukua na kuendelea! Hizo ni nadharia za kulinda kilichokwisha kupatikana.
- Slavery, wali-abolish baada ya kufaidika na wakaweka taratibu mtu mwingine asije faidika kwa kufanya hayo na kusababisha instability itakayowafanya wasile vinono vyao kwa amani.
- Japan waliweza kutokomeza malaria 19 kweusi huko, kwanini hatufanyi kama wao leo?
Kama Magu alikuwa dictator, tunahitaji atakayekuwa mara 100 yake!
Mfuate huko akakutawale wewe.Nadhani kwa tulipofikia, kama uraisi wa Magufuli ulikuwa ni wa kijangili, basi tumuombe Mungu tupate raisi jangilist mara angalau 10 zaidi, mapema iwezekanavyo kwaajili ya vizazi vijavyo.
Hatuwezi kupiga hatua yoyote positive kwa huu upuuzi wa unaoendelea! Kama anaweza kuwa 100% match kisha akazidisha kila kitu by 10, why not!
To hell with hiyo law na vifananavyo! Law ni nini kwanza? Moja ya vitu visivyo na hakika katika hii dunia ni law. Ni aghalabu kukuta wanahesabu na wafananao kuwa na mjadala usio na mwisho na kisha kukata rufaa etc.
Si law, utawala bora wala demokrasia, kwa tafsiri tunayolazimishwa kuielewa, itasaidia nchi yoyote Africa kukua na kuendelea! Hizo ni nadharia za kulinda kilichokwisha kupatikana.
- Slavery, wali-abolish baada ya kufaidika na wakaweka taratibu mtu mwingine asije faidika kwa kufanya hayo na kusababisha instability itakayowafanya wasile vinono vyao kwa amani.
- Japan waliweza kutokomeza malaria 19 kweusi huko, kwanini hatufanyi kama wao leo?
Kama Magu alikuwa dictator, tunahitaji atakayekuwa mara 100 yake!
Sukuma gangMh. Raisi Samia Suluhu Hassan is not stupid as you portray her to be.
On the other hand, you need to stop the non-sense za kufifisha kabila la Wasukuma to a gang.
STUPID
iv cocktail ndiyo lile ambalo tunaliita govi au govinda?Kachanganye cocktail
💩Nadhani kwa tulipofikia, kama uraisi wa Magufuli ulikuwa ni wa kijangili, basi tumuombe Mungu tupate raisi jangilist mara angalau 10 zaidi, mapema iwezekanavyo kwaajili ya vizazi vijavyo.
Hatuwezi kupiga hatua yoyote positive kwa huu upuuzi wa unaoendelea! Kama anaweza kuwa 100% match kisha akazidisha kila kitu by 10, why not!
To hell with hiyo law na vifananavyo! Law ni nini kwanza? Moja ya vitu visivyo na hakika katika hii dunia ni law. Ni aghalabu kukuta wanahesabu na wafananao kuwa na mjadala usio na mwisho na kisha kukata rufaa etc.
Si law, utawala bora wala demokrasia, kwa tafsiri tunayolazimishwa kuielewa, itasaidia nchi yoyote Africa kukua na kuendelea! Hizo ni nadharia za kulinda kilichokwisha kupatikana.
- Slavery, wali-abolish baada ya kufaidika na wakaweka taratibu mtu mwingine asije faidika kwa kufanya hayo na kusababisha instability itakayowafanya wasile vinono vyao kwa amani.
- Japan waliweza kutokomeza malaria 19 kweusi huko, kwanini hatufanyi kama wao leo?
Kama Magu alikuwa dictator, tunahitaji atakayekuwa mara 100 yake!
Umetumia muda wako kuandika ujinga.Nadhani kwa tulipofikia, kama uraisi wa Magufuli ulikuwa ni wa kijangili, basi tumuombe Mungu tupate raisi jangilist mara angalau 10 zaidi, mapema iwezekanavyo kwaajili ya vizazi vijavyo.
Hatuwezi kupiga hatua yoyote positive kwa huu upuuzi wa unaoendelea! Kama anaweza kuwa 100% match kisha akazidisha kila kitu by 10, why not!
To hell with hiyo law na vifananavyo! Law ni nini kwanza? Moja ya vitu visivyo na hakika katika hii dunia ni law. Ni aghalabu kukuta wanahesabu na wafananao kuwa na mjadala usio na mwisho na kisha kukata rufaa etc.
Si law, utawala bora wala demokrasia, kwa tafsiri tunayolazimishwa kuielewa, itasaidia nchi yoyote Africa kukua na kuendelea! Hizo ni nadharia za kulinda kilichokwisha kupatikana.
- Slavery, wali-abolish baada ya kufaidika na wakaweka taratibu mtu mwingine asije faidika kwa kufanya hayo na kusababisha instability itakayowafanya wasile vinono vyao kwa amani.
- Japan waliweza kutokomeza malaria 19 kweusi huko, kwanini hatufanyi kama wao leo?
Kama Magu alikuwa dictator, tunahitaji atakayekuwa mara 100 yake!
Mseto wa vileo na vitu vingine mbali mbaliiv cocktail ndiyo lile ambalo tunaliita govi au govinda?
Umetumia nini kujibu ujinga?😁Umetumia muda wako kuandika ujinga.