Nakaaya Sumari - Mtanzania wa Kwanza kupata Mkataba na SONY MUSIC

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Wapendwa Watanzania,

Napenda kuwapa habari njema za mwanadada, mwanamuziki, mtunzi mahiri, Nakaaya Sumari, ambaye mwaka jana alitoka na kibao chake kikali, "Mr. Politician", sasa amethibitisha kwamba yeye anaweza!

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka SONY MUSIC, kampuni kubwa ya kusambaza muziki hapa duniani, Nakaaya Sumari amepata mkataba ambao utaanza rasmi tarehe 1 Februari mwaka huu.

Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti yake, Welcome to Nakaaya's Official Page.

./Mwana wa Haki

P.S. Viambanatinsho vimezingatiwa hapo chini
 
Attachments

  • Nakaaya Photo by Stephen Freiheit_0127.jpg
    Nakaaya Photo by Stephen Freiheit_0127.jpg
    327 KB · Views: 193
  • Nakaaya_Press_Release[1] new.pdf
    85.6 KB · Views: 97
Amidst this hullaballoo za "kupindapinda" kisiasa, something promising from the field of arts emerges :)
 
Beautiful voice! Kila la heri, what happened to valerie kimani from e.a project fame?
 
Wapendwa Watanzania,

Napenda kuwapa habari njema za mwanadada, mwanamuziki, mtunzi mahiri, Nakaaya Sumari, ambaye mwaka jana alitoka na kibao chake kikali, "Mr. Politician", sasa amethibitisha kwamba yeye anaweza!

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka SONY MUSIC, kampuni kubwa ya kusambaza muziki hapa duniani, Nakaaya Sumari amepata mkataba ambao utaanza rasmi tarehe 1 Februari mwaka huu.

Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti yake, Welcome to Nakaaya's Official Page.

./Mwana wa Haki

P.S. Viambanatinsho vimezingatiwa hapo chini

Hii Press release imekaa kiajabu ajabu, sony si wananembo yao...isije kuwa wajanja wanataka mrubuni dada yetu wajimegee kilaini...
 
Mkuu Ushirombo na mimi nimehisi hivyo......nimeingia kwenye website ya Sony hawana news ya namna hii...hata sony SA hawana news ya namna hii......
 
Haya tusubiri Nakaaya mwenyewe atuambie je...! haya yasemwayo, yapo???
 
Folks,

Nimesema mkataba unaanzia Februari 1, 2009, so mnategemea kutakuwa na tangazo kwenye website ya SONY kabla ya mkataba kuanza muda wake rasmi? Aw, come on, you lot are intelligent bana!

Halafu, SONY MUSIC is a new entity, it takes after SONY/BMG, which took after BMG Ariola when SONY acquired it!

As far as Nakaaya, she WILL come in the open when her management - in Tanzania - feel it's the right time to come out with a statement. You are being given the exclusive (she doesnt even know I have done this...) preview of what is to become a reality, please stop compaining. SONY is a reputable company, not about to rip off anybody!

LOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOL

Mnanichekesha kweli!

Tumshangilie Mama Afrika wa Tanzania!

asante kwa kutupatia taarifa hizi kutoka jikoni.

hata hivyo kama ulivyosema mwenyewe hapo juu "...SONY is a reputable company,..." Sioni kwanini hasa wakubali kutumia alama ya biashara (trademark) ambayo sio yao (nimeangalia kwenye web site yao SONY MUSIC ENTERTAINMENT sijaona alama ya biashara inyaofanana na iliyopo kwenye press release uliyotuletea). kwa hiyo kama taadhari tu bibie nakaaya awe mwangalifu.
 
Hii ni habari njema sana kama ni ya kweli, ila hilo karatasi naona limekaa ki-richmondi richmondi vile.
 
Wapendwa Watanzania,

Napenda kuwapa habari njema za mwanadada, mwanamuziki, mtunzi mahiri, Nakaaya Sumari, ambaye mwaka jana alitoka na kibao chake kikali, "Mr. Politician", sasa amethibitisha kwamba yeye anaweza!

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka SONY MUSIC, kampuni kubwa ya kusambaza muziki hapa duniani, Nakaaya Sumari amepata mkataba ambao utaanza rasmi tarehe 1 Februari mwaka huu.

Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti yake, Welcome to Nakaaya's Official Page.

./Mwana wa Haki

MKUU mwanahaki hongera zake,,ila yeye si wa kwanza kamuulize muimbaji wa NYIMBO ZA DINI ANAITWA UPENDO KILAINI ALIKUWA SOUTH AFRICA NA MKATABA WA KAMPUNI GANI,,NAMWONA SASA HIVI AMERUDI SIJUI AMEMALIZA AU LA,,ILA NI ULAJI MZURI MAANA MAMA NA MUUMEWE WAMERUDI WANAWAKA MAISHA BORA,SHAVU HINYA,,LABDA ATAKACHOMISS MAPENZI YA MELBOO
 
Back
Top Bottom