Najuta nimezaa nje ya ndoa, ushauri wako muhimu sana

Kama mkeo ni Mama wa nyumbani kuna nafuu kidogo, lakini kama mkeo na yeye ndio hawa Member wenzetu wa hapa JF, sinema mnaenda woten lunch mnakula pamoja na ile miwani yao kama bundi na yeye anayo na ana access ya kununuwa hata kavits basi una tatizo kubwa sana Jombaa.
 
telling the truth will free you kutokana na fukuto ulilonalo moyoni. ila your freedom ndo itaanzisha hilo fukuto kwa mkeo. na mbaya zaidi wakati la kwako utakuwa umelitua, yeye atabaki nalo milele. so jiandae kwa maudhi yatakayofuata baada ya ukweli huo kujulikana. manake kuna vile vimipasho vya hapa na pale lazima vitakuwepo, kuhusiana na watoto na/au mama yao na/au ndugu zake au hata kabila lake. Kama ni Msukuma basi akionekana Andrew Chenge kwenye TV utaambiwa "Shemejio anasema nini?!!" I bet this is the price you pay forever and maybe deservingly so.

Kumbuka pia usiwakaribishe sana nduguze au mzazi mwenzio kwenye maisha yako. pamoja na kuusema ukweli endelea kuwaweka pembeni ili wasijione ndo na wao washaingia kwenye mji wako.

Ni vyema lkn uendelee kuwasomesha na kuwasimamia wanao huko waliko manake hiyo in a long way itakusaidia kupunguza friction kwenye mji wako. Usisahau kuandika Will mapema na uwe una iputodate siku ziendavyo ili lilikutokea la kutokea usiache mapambano makubwa nyuma yako
 
Mweleze Mkeo,litakalokuwa na liwe! Kuna jamaa alikuwa na watoto watatu, aliwalea vizuri sana, baada ya miaka kadhaa, alikuja kugundua wale watoto wote sio wake, kabla ya hapo, alisafiri mkoa kikazi akampa miba binti mmoja, kwa maelezo yake, wakaelewana amlee mtoto na yeye atatuma matumizi! Mwisho wa siku, yule binti akapata mchumba na anataka kuolewa, alichofanya ni kumletea mtoto ofisini na kumbwagia jamaa, mwisho wa yote, akampeleka nyumbani kwa mkewe, shughuli ilikuwa PEVU, lkn baada ya kufatilia akajagundua wale watoto watatu sio wake, Mke wake alizaa na Mtu mwingine! Kwa usalama, MWELEZE mkeo, na litalokuwa na liwe. POLE SAANA
 
Paulss, I honestly dont envy your shoes! but running away from yourself doesnt solve any problem, the only option before you is to own your act before God and human beings, your wife included, consequences not withstanding. Live your life and let your moment of weakness allow for growth into strength, be prepared for the natural backlash from your wife, be understanding, God willing, she will understand that she married a human being.
My prayers with you
 
Very simple ww mwandae wife wako kisaikolojia taratibu badae umtupie hiki kitu ataelewa tu. msikilize hata Bahati Bukuku na wimbo wake mpya na kisa kama chako
 
Very simple ww mwandae wife wako kisaikolojia taratibu badae umtupie hiki kitu ataelewa tu. msikilize hata Bahati Bukuku na wimbo wake mpya na kisa kama chako
 
Aisee pole sana, but u know what the earlier the better, yameshanitokea Mume wangu aliniletea mtoto, but niliambiwa mapema Japo miwezi mitatu ya kupewa habari ilikuwa migumu sana ndani ya ndoa, ila later nilizoea na sasa nalea mtoto, we all make mistake ndio ina degree tofauti, if she loves u am sure she will find a place in her heart to forgive u, fanya hivyo mapema na usifanye Siri ni mbaya sana, tell her plz
 
paulss upo wapi mkuu?nakukumbushia jambo moja!umedanganya jina lako,naomba sasa ukatoe jina lako halisi,sensa inakuja mapacha wako wataandikwa kwa jina fake karekebishe mambo fasta!
 
Narudia kusema,hujaua
mtu,kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya mkeo ni jambo la kawaida kabisa
na usiwe na hofu nawala usidhanie mkeo akijua eti atakuacha,hakuna kitu
kama hicho. Relax ni mapito tu akijua atanuna mwisho atazoea.

Akili ni nywele kl m2 anazake,dini gani inayoruhusu 2kio hilo lilotokea?au una muonesha kua ni k2 cha kawaida ww peke yk ndo mwenye mawazo mgando ulompa ushauri huo,ukweli ni wa kili wake amwambie ukweli bt akumbuke na avute picha km ni yy angekua amefanyiwa 2kio hilo lingemgusa kiasi gn?ndo mana mungu aka haramisha zinaa,kila alikatazo mungu hua lina madhara kwetu ila waja hatuamini mpk 2test km kweli linaleta negative effect au la.2jiulize"2po wa ngp?"
 
Back
Top Bottom