Najuta kuwa mtanzania. .

Paka Mweusi

Member
Jan 31, 2012
9
1
Kwa watu tuliozaliwa karibu na mipaka ya nchi tulikuwa na nafasi kubwa ya kuhamia nchi za jirani kama vile kenya na uganda. Leo nimegundua bora ningeukana utz mapema kuliko kuongozwa na huyu ****** na jopo lake
 
wanyarwanda waliuana mamia kwa maelfu -- tukawacheka sababu tuna amani na utulivu
Wakenya wakatwangana vibaya mno - tukawacheka sababu tuna amani na utulivu

Leo hii wanyarwanda na hata jirani zetu wakenya wapo wapi?

Sasa vuneni amani yenu na utulivu wetu mliokuwa mnajidai nao kwenye mataifa ----- na hizi ndogo tu ni rasharasha tu zile za masika zaja -- watu mpaka mle PUMBA kama kuku maana unga kilo itafikia hadi 2500.

Poleni sana watanzania wangu ila kufa lazima mfe tu mpaka vikao wa wakubwa zenu viishe kule dodoma.
 
Nafasi bado unayo unaweza kuomba uraia huko na ukaenda.
 
Sasa wew ulitaka uwe nani? Hawa viongozi unaowalaumu wamekuzuia kuondoka kwenda kuomba uraia wa nchi hiyo unayotaka? tuondokee hapa na kirusi chako!

Najivunia kuwa Mtanzania bwana!!
 
wanyarwanda waliuana mamia kwa maelfu -- tukawacheka sababu tuna amani na utulivu
Wakenya wakatwangana vibaya mno - tukawacheka sababu tuna amani na utulivu

Leo hii wanyarwanda na hata jirani zetu wakenya wapo wapi?

Sasa vuneni amani yenu na utulivu wetu mliokuwa mnajidai nao kwenye mataifa ----- na hizi ndogo tu ni rasharasha tu zile za masika zaja -- watu mpaka mle PUMBA kama kuku maana unga kilo itafikia hadi 2500.

Poleni sana watanzania wangu ila kufa lazima mfe tu mpaka vikao wa wakubwa zenu viishe kule dodoma.

Ni bora kula pumba kuliko kuuawa kwa Bunduki... na haya unayoyataka yakitokea wewe utakuwa wa kwanza kufa... unashangaa unga kuuzwa 2500/= miaka ijayo je unafahamu kuwa Zimbabwe mkate unauzwa 50,000/= na Mgabe bado yuko pale pale?
 
Kwa watu tuliozaliwa karibu na mipaka ya nchi tulikuwa na nafasi kubwa ya kuhamia nchi za jirani kama vile kenya na uganda. Leo nimegundua bora ningeukana utz mapema kuliko kuongozwa na huyu ****** na jopo lake

Mkuu matatizo hayakimbiwi bali kukabiliana nayo! Inamaana hata familia yako ikiingia kwenye matatizo utatamani jiarani yako anayo ishi? itakuwaje? Hata hao unao waona wametulia kuna watu wali gharamia huo utulivu meen.

Hebu suggest mambo ya msingi ya kufanya ili nchi yako (Mungu aliyokupa) iondokane na challenges zilizopo. Nina amini kabisa matatizo ya nchi hii yanaanza na wewe. Usipo ipenda nchi yako sahau kufanikiwa katika nchi hiyo. kwa sababu Mungu humbariki mtu katika nchi ampayo. Kumbukumbu 28:1-14.
 
hivi jk ile nyota yake ya 2005 nani kaifunika/kaiiba?yale mapendo kwake yamekuwa kinyume..au uchawi umeexpire?
 
Wakati wewe unajuta kuwa mtanzania napenda ujue kuna wanaotamani kuwa watanzania. Kama umechoka amani na unataka kujaribu fujo jipange!
 
Back
Top Bottom