Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Wewe una msongo wa mawazo wa kukosa mtoto maana ulicho andika utadhani ndiyo mhusika!

HAHAHAAAAAAAAAAA! Pole sanaaa, mwenzio kwetu tuna uzaziii ni balaaa. Mpaka nimeweka vijiti vya 5 years. Upo hapo! Bado sijazalishwa ki LAFA.:lol:. Mi niishi kwa mahesabu na ovary zangu zipate tabu Thubutuuuuuuuuu!
 
...........Kwa nini wewe ulipe ada ya mtoto na wakati baba yake yupo?
Huyo mwanamke ana lake jambo, je yeye hafanyi kazi hadi anakupa wewe jukumu la ada?
Pole sana, ndio mitihani ya maisha.

Ila suala la kumuacha, wewe ndio mwamuzi.

Kuoa mwanamke mwenye mtoto si tatizo, ila kama bado anakuwa na mawasiliano na baba mwenye mtoto ndio tatizo.

Mwanamke ukiachana na baba wa mtoto, chukua mwanao na kata mawasiliano na baba wa mtoto. Hiyo ndio sheria yangu!!!
 
Mwanamke mwenye mtoto huwa mwanzon anakua mpole..ila akisha kupata anabadilika.... hapo inaonesha wazi alikua bado anafanya mapenz na mwarabu mwenzie......

Toka lini waarabu wakaachana?hao wanakulana Kama kawa!Angalia mbele
 
we nawe mkongwe humu,ila hujaelewa kilio ch huyu mtu vizuri. Huo u-biological father sio kesi na wala sio kilio cha mhusika. Soma vzr ndgu.

Nimemulewa sanaaa! Alitaka kisa yeye analipa ada basi baba wa mtoto maskini hata asiende kumchungulia mwanae. Loooooh! Hata maskini nae mzazi ana uchungu na mwanae sema ndo afanyaje.

Sasa hapo kutaka baba mzazi ndo alipe ilihali anajua uwezo hanaa si kumjaribu mtu huko???????

Mi nasikia uchungu sanaaa mjue! My sis alizaa na mtu huko nje, sasa yule mtu nae chengaa. Maisha yake ya kuunga unga mara atume hela, mara asitume, na huyo my sis mwarabu nyuma anataka mambo ya IST kama hivo, ndo kaolewa na Prof ndugu yangu.

Prof anahudumia na kawapeleka wote wa 3 na yule wa nje IST sawa lakini marufuku kuwasiliana na baba wa mtoto, na marufku ksababisha mawasiliano kati ya mtoto na baba. Yule mtoto maskini anaambiwa amuite yule baba tangu mdogo. Sasa watu na midomo yao akasikia yule sio aba yake, wabongo tenaa. Mama yake anakaza he si your daddy, he takes care of you, hadi ubini kampa wa baba wa kambo.

Siku akaniuliza mamdogo is he my daddy? Mamdogo mwenyewe mie chengaa. Nikamwambia NO, huyo uncle tu, kamuoa mama yako, lakini wale wadogo zako yule baba yao. Kakasema No wonder he doesnt like me very much. Maskini. Nikamwambia baba yako yupo, huyu hapa face book, hapa ulivokuwa mdogo na mama yako, dont ever forget you have your real father out there, ukikua find him yourself. Ila for now forgt about him. Kila akiiona anataka nimfungulie facebook ya dingi yake amuone tuuu.

MASKINI NA MTU NA ANATAKA MWANAE APATE FUTURE SAWA LAKINI ANA UCHUNGU NAE PIAAA SIO KUTAKA KUJIBINAFSISHIA WATOTO WA WENZENU! Alaaaa!
 
Ndoa si lelema baba, kuwa wafanya kuoa mwaka huu likitokea tatzo unamuacha, ndoa yahitaj uvumilivu wa hali ya juu tn juu haswa. Na hyo story yako ni moja ya mtihan katika ndoa.. Hivyo piga moyo konde myazungumze hayo, yaishe na maisha yaendelee km kawaida. Lakn hamna kuachana hapo ndoa ya kikristo hyo.. Uvumilivu na punguza hasira, ongea nae akulelewee wew n mtu wa aina gan, na misimamo yako ni ipi. bhaaas


...........huwa sielewi hapo nilipoweka nyekundu, yaani ndoa ni karaha hakuna raha halafu msiachane kwa kisingizio cha ndoa ya kanisa.
Hivi ndoa ni ya watu wawili au kanisa? Haya ni mambo ya kizamani sana aiseee!!
 
boyfriend? unamuuliza kama ana boyfriend mbibi?

Hahahahaaaaaaaaaa! Watu mna hilaaa! Si babu ndo boyfriend wake! Kwali alizaliwa bibi? Si alikuwa kigori akawa na boyfriend babu akaja kumuoa, akawa baba, sahivi babu. Unamtafuta tu Faiza maneno.
 
Hivi FaizaFoxy una Boyfriend? Please naomba uniambie ukweli moyo wangu uridhike.

Mkuu huyo FaizaFoxy ni mtu mzima sana mtoto wake mmoja ana miaka 30 kazi ya FF ni kumtetea kikwete mtandaoni jukwaa lake ni la siasa huku huwa anakuja kukikosekana hoja kule ajira yake inaisha october mengine atajazia akipata nafasi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyo FaizaFoxy ni mtu mzima sana mtoto wake mmoja ana miaka 30 kazi ya FF ni kumtetea kikwete mtandaoni jukwaa lake ni la siasa huku huwa anakuja kukikosekana hoja kule ajira yake inaisha october mengine atajazia akipata nafasi.

Kuajiriwa tena?

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Mkuu Paulsen,

Mimi nafikiri mwenye makosa ni wewe mwenyewe.

Lakini makosa hayo ni ya kiufundi na ni ya aina mbili.

Kosa la kwanza ni kutomsikiliza baba yako mzazi ambae ndie aliekupa ushauri wa ni binti gani wa kutafuta kuoa na ataendelea kukupa ushauri mpaka siku Mungu atakapochukua uhai wake.

Kwahio hukutaka kuzikiliza na kuchambua ushauri huo na ukapelekea wewe kufanya kosa la kubanwa na huyo bunti hadi kuamua kuoa kabisa.

Hivyo kama ulirudi kwa mzee na kutubu kwa utukutu wako wa kutosikiliza basi atakuwa amekusamehe na mtaweza kuhalalisha ama huyo alie standby au mwingine mpya kazi ambayo ni ngumu kidogo.

Kosa la pili la kiufundi, ni kushindwa kufanya uchambuzi yakinifu kuhusu huyo binti chotara. Ulitakiwa umfahamu asili yake wapi anaishi, ndugu zake, je kama ana familia ya ukubwa gani, ameolewa kabla na kuachika, ana mchumba, ana mwanamme na mwisho kama ana mtoto.

Halafu umewahi sana kuoa kabla hujajiandaa kimaisha kwani kama ungejipa muda na huyo binti na angeona anashindwa kukushurutisha kufanya ndoa mapema, angeendelea kwenda kwa huyo jamaa maana waliona wamepata wa kusaidia kutua mzigo wa majukumu.

Pia wewe ungeendelea kuwa na huyo mchepuko ambae pengine ndie angekuwa mkeo halisi, maana yeye anaonekana hana mtoto mahala au vipi?

Unapoanza kufikiria kuoa hasa wanawake walio na watoto ambao wanaishi kwa bibi zao inabidi ujiulize maswali mengi.

Ndoa ni taasisi na unapotaka kuona inamaanisha unataka kuijenga hio taasisi yako isimame mahala fulani na jamii iliopo mahala hapo waione, yaani kuna ndoa (kanisani au msikitini), nyumba, mke mrembo , watoto.

Watu wengi siku hizi hawaangalii ndoa kama taasisi bali daraja la kupitishia maslahi binafsi hivyo unaetaka kuoa/kuolewa inabidi ufanye utafiti.

Hivyo basi unaweza kuachana na huyo mwanamke na muwe mnakutana nae mahala na watoto ili awasalimu maana mkichana hataweza kurudi tena ndani ya nyumba.

Watoto wakifikia umri wa miaka 10 utawakalisha chini na kuwapa somo fupi kuhusu uhusiano wa wewe na mama yao na uhusiano mpya kama utakuwepo, baadae wakifikia 18 wataelewa kwa undani na haitakuwa issue kwani wewe ndoie baba yao na ndie mlezi wao kwa kila kitu.
 
Hahahahaaaaaaaaaa! Watu mna hilaaa! Si babu ndo boyfriend wake! Kwali alizaliwa bibi? Si alikuwa kigori akawa na boyfriend babu akaja kumuoa, akawa baba, sahivi babu. Unamtafuta tu Faiza maneno.

Ndio hapo sasa,ila sio siri namtamanigi huyu mwanamke huyu...
 
Mkuu huyo FaizaFoxy ni mtu mzima sana mtoto wake mmoja ana miaka 30 kazi ya FF ni kumtetea kikwete mtandaoni jukwaa lake ni la siasa huku huwa anakuja kukikosekana hoja kule ajira yake inaisha october mengine atajazia akipata nafasi.

Sawa mkuu ila Nampenda kiukweli.
 
Last edited by a moderator:
Visiting day kwenda kumuona mwanae anaweza, kutoa ada hawezi. No way, kuna jambo kati ya mkeo na ex wake. Ndio maana wengine wanaishi kama simba dume -kamwe halei mtoto wa mwenzie .
 
Mkuu huyo mwarabu atakuwa bado wanamahusiano tena mazur tu...achana naye jal ustaarab wako
 
Back
Top Bottom