Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

Wanawake wa Kisukuma mixer Mnyantuzu wanapigwa Chale aka Eleven mwili mzima hao, washirikina hatare halafu wao sasa wako comfortable na ushirikina kama Mdigo na Baiskeli.
 
Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee

Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee hawa wanawake.sio poa kabisa ila nanideclare interest sio wote ila.most of them ni hizo yaani ukimuoa kama wewe si mtu na kabila lao utakiona chamtema kuni dadeki sio poa kabisa

Kwanza ameenda kwao kwa sababu ni mgonjwa ila.sasa wakati wakurudi.amenipa masharti eti natakiwa kurudi na mganga wa kienyeji kisa eti kwasababu yeye ni mgonjwa hatakiwa kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee anatakiwa kubeba dawa eeeeh whaaat? It is madness.😧😧

Sijaona watu hawa wana hasira balaa yaani yeye kurusha ngumi kwenye kawaida sasa najiuliza angeolewa na mkabila mwenzie angefanya huu ujinga? Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa

Mtu anakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi? Na unatoka tarehe ngapi?😧😧 and then anauliza nipe namba ya muuza duka wako for what? Hawa watu kwa ushirikina usiseme ni hatari sana aisee yaani kabisa anataka kuja na mganga wa kienyeji kisa eti hatakiwi kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee mbebaji huu si ushirikina huu?

Isitoshe huu binti ni mdogo sana sasa amejuaje yote haya? Sio kama yuko coaching na ndugu zake?wanataka kuniua? Au wanataka kunikama nisiwe na kauli kwa huyu binti yao?

Najuta na i'm going to divorce her


"I am going to divorce here" Mbona ushalogwa tayari, ungekuwa timamu ungeleta taarifa ya kumwondoa na sio ya kulia lia
 
Masahihisho hakuna kabila la wanyantuzu hapa Tanzania ila tuna wasukuma wanaotokea ntunzu
Wao ukiwauliza ni kabila gani?
Watasema sisi ni wanyantuzu kabisa.
Wale wa shinyanga huwa wanajibu sisi ni Wasukuma wa kawaida.

Wale wa Busega, huwa wanasema sisi ni Wanasa.

Wa Maswa huwa wanajiita Wanyanzegeli

Wa Nzega sijui Igunga wanaitwa Wadakama ila hapa Kuna mkanganyiko juu ya utambulisho wao wengine husema Wanyamwezi.

Wa kule Mwanza mpaka Sengerema wanajiita Wanyeng'weli

Kahama mpaka Geita kule ni Wasumbwa.

Hivyo ni kweli kabila ni Wasukuma ila jamii zao, hurka, baadhi ya matamshi wanatofautiana.
 
Wasumbwa na wanyantuzu wanajiita wasukuma ila deep down sio wasukuma, heri wamachame wapalestina angalau ulozi wao ni wa kimantiki
 
Mwanaume unakuwaje na misuli dhaifu hivyo? Mwanamke anakutikisa akuone ni imara kukuamini kuwa kiongozi wake wa maisha wewe unaogopa unataka kuachana nae, utaweza kweli kuwa baba wa familia na kuwa na maamuzi ya kuongoza mke, watoto na kujenga ukoo?

Mwanamke anaolewa kwasababu na mwanaume anaoa kwasababu. Wewe ndie kiongozi, mwanamke anapoleta mambo ambayo huyelewi unamfyatukia na kumuonyesha yupo chini ya mamlaka gani. Nani atakuletea upinzani kwa mkeo isipokuwa wewe mwenyewe kwa kutojiamini?

Weka kitako huyo mwanamke msomee utaratibu wa maisha ya ndoa mtakayoishi, bange zake atafute namna ya kuachana nazo afuate utaratibu wako na aishi vile upepo unaenda. Watoto wa kiume mnalelewa kidhaifu sana miaka hii ndio maana ndoa zinakuwa kazi kwenu.

Mwanamke akisimama na mwanaume wa kisasa anaona yupo na mwanamke mwenzake automatically anaona ngoja awe na maamuzi maana akilegea maisha yataharibika.

Kuwa kidume.
 
Mwanamke anajichubua na ananyoa panki, hao si Bar Maid mzee.

Hana kitu kichwani, nadhani weupe ulikuchanganga ukashindwa kuangalia vigezo vya tabia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom