Najuta kuhamia nyumba hii

Lizzy na dena, mi si9hami bana tutabanana hapahapa, mpaka kieleweke. Nimeamua sasa. Kesho asubuhi naenda kumgongea mrango ntajifanya naomba kibiriti, huku nimevaa taulo tu, kifua wazi ajionee kilichopo kifuani. Keshokutwa ntamgongea usiku saa 6, ntajifanya nimeishiwa chumvi anisaidie nione? Au mnasemaje?
 
mwambie aliyekutafutie nyumba ahamie hapo ndani moja kwa moja mshee nyumba
 
Unatongozwa hivyo....alafu we unaleta mapozz?
kwa kijana ambaye ndo kaanza kazi kwa kweli mapozz muhimu hasa ukizingatia huyu ni mama mtu mzima mwenye timu ya netball,bora kijana awe mgumu maana na magonjwa haya!
 
Dawa ya watu wa aina hii ni kujifanya huwaoni wala husikii,atajiona mjinga,ukijibizana nae atajua sms sent,atasema mchana usiku atalala!
 
Back
Top Bottom