Najiuliza hili swali sipati jibu kamili


Tetra ndoa ni jambo jema
ndoa ni kuheshimiana,kuvumiliana
ndoa ina magumu mengi inatakiwa kugangamala
ila ndoa za siku hizi talaka hata wadada wanatoa kama mme
haeleweki!!pia kila mtu ajiridhishe na muonekano wa mwingine maana
siku hizi unakuta mwanaume sura ka zombie akiwa na hela tu mdada hachomoi
anaolewa thn mwisho wa siku ndoa inakufa coz hapakua na upendo wa kweli!!

::
ahaaa kumbe,,mie kisura changu bora ya zombie,,hela ndo ngumu kama lugha ya kichina.
Bora leo nimejua sababu
thanks Passion Lady
=
 
Last edited by a moderator:

heheheeeee!pole
Tetra kwa kunyimwa vyote
ila wa kwako yupo ambae hatojali
hayo mapungufu!!
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu anasababu zake kufanya jambo hakuna formula.
kikubwa, make sure u know how to swim before u dive na usiige mtu kila mtu ana njia yake ya kutokea
 
Habarini za wikend great thinkers, heshma yenu.swali> Hivi ni kweli kuwa wanawake wote wanaoingia katika ndoa wana mapenzi ya dhati kwa waume zao au kuna sababu nyingine zinazowavuta kuingia katika ndoa hizo?kama zipo ni zipi? mawazo yenu ni muhimu ,welcome for discusion..
Naomba kujua nini kipo nyuma ya pazia ya hizi fikra zako!! Kama ni from nowhere nachelea kusema unanyemelewa na kaugonjwa, si bure!
 
Sababu ziko nyingi sana
1. Mapenzi ya dhati
2. Heshima kwenye jamii
3. Kutoa nuksi
4. Uchu wa mali za mwanaume
5. Matatizo ya kujamiiana mf. binti kupewa mimba akafukuzwa kwao.
6. Ongeza na za kwako tufanye majumuisho.

Binafsi nilioa kwa sababu nilimpenda niliyemuoa; sikuwa na mali kipindi namuoa hivyo alinikubali nikiwa sina kitu. Mali zangu amekuja kuzigundua baada miaka kama miwili hivi. Hadi sasa naishi naye kwa amani; tumejaliwa kupata watoto; maisha yanaenda.

Tahadhari; wale wanaoolewa kwa sababu ya mali ndoa huwa hazidumu kabisa.

hapo umenena Tutor B, kila mtu huwa na sababu yake binafsi ya kumuingiza kwenye ndoa
 
Stage 1.
Kuolewa dili sana mujini hapa! Hata kama mbaya mbaya ukiolewa waonekana sio mbaya kivilee lasivo usingepata wa kukuoa. Na hata kama mzuri ukiwa hujaolewa unaonekana una Nuxi na mikosi. Ringia bahati bibi weee usiringie uzuri!

Stage 2.
Umeolewa na nani mujini humu???? Mmmmh! Mume mwenyewe ndo yule? Khaaaaaaaa! Akhaaaaaaa bibi wewe kisa cha kuharibu wa watoto? Hata bure simtaki. Khaaaaaaaaaa! Sijui alikosa nini shostito kuingia chaka kiasi kile.

Stage 3.
Shogaaa! Hongeraaaa umeolewaaaa! Unaishi wapi vile tenaa? Masaki au Mikocheni manake hata mtoto sijamuona nije weekend hii hii? (Naishi Kimara shosti!)Okaaay! Mmehamia kwenye nyumba yenu? (Hapana tumepanga!) Okay! Mmepanga full house, sio mbaya sanaaa! (No tumepaga upande) Mmh! Hongera lakini kuolewa bahati siku hizi! Nipe lifti basi shosti. (Sina usafiri bana, twende tukapande dala! Kwa hio jmosi utakuja kumuona mtoto eeeh) Yaani im soo soo busy i dont think i can make it, kimara mbali sanaaaa! Nitakujaga tu mpenzi wangu! Ill try to find time.


USHOGA WA MUJINI KAZI!!!!!!!!! Ndo maana watu tuko 40 na above ila bado ndoa not reachable kwa kuendekeza vigezo vya Mashosti! Na bado!

ha ha ha haaa.... Lara 1 umenifurahisha sana kwa style hiyo ukiwa naroho ndogo unajikuta unatafuta tena pedeshee wa kukuondolea umasikini hapo sasa ndio ndoa zinapoanza kuingia doa.
 
binafsi nimeoa kwakua huyu manzi yuko na umbo nnalotamani mimi, zaidi ya hapoalionyesha mapenzi ya juu sana kwangu! anamawazo mazuri anaweza kusacrify kwaajili ya kua na mimi,ananiamini sana na miminimejikuta namuamini sana, sikua na mali lakini hakujali! jambo nililolisoma kwake alikua na uzoefu wa kutendwa na wenye mali/utajili kupitia kwa ndugu na jamaa na hata kwake mwenyewe! najisikia nikosehemu sahihi sana kua nae! nawashauri guys hata kama kuna vitu vya kimaumbile na tabia lakini nimuhimu tuoe/tuolewe na watu wenye uzoefu kwenye mahusiano. vinginevyo u ill end tomorow!!!!!!!!!!
Thank u.
 
indicator, wamekuw magari? :A S 20:

::
sa ndo wapite tu hata salamu hakuna? Ngoja nipate pesa,,vioo tinted nawaachia vumbi
But I trust in Passion Lady 's saying
Wangu atakuja,,my love will shine forth Just like a heavenly star.
Pesa maua Pendo hazina
=
 
Last edited by a moderator:
::
sa ndo wapite tu hata salamu hakuna? Ngoja nipate pesa,,vioo tinted nawaachia vumbi
But I trust in Passion Lady 's saying
Wangu atakuja,,my love will shine forth Just like a heavenly star.
Pesa maua Pendo hazina
=

wanasubiri we uwaanze, wasalimie uone hadi makis utapewa ,ukiwa na tinted ndo kabisaaa watakuwa hawakuoni banaa unadhani utawapataje?
 
Kama mwanaume anaweza changia, basi sikiza.
Wengi wao wanaingia kwa sababu wanataka kuolewa! Anayekupenda huwa hajali sana kama mmeenda church au la. Hasikilizi mzazi eti dini sijui ipo tofauti au vipi! Yaani yeye ataishi na wewe bila kujali kitu. But, mapenzi pia huchuja!!!!
 
mie watoto baaasi,kama ni hela nishawahi kuzishika zikapotea hivyo swala la kipato halinistui,kama ni sex pia hainisumbui kuna madildo kibao siku hizi:mvutaji::mvutaji:
 
mi nadhani swali lingeulizwa kwa namna nyingine;
Kwani wanaume wanaingia kwenye ndoa kwa malengo gani?
 
Msiooa poleni sana, mabinti wengi siku hizi wanaangalia mpunga! upendo wa kweli upo kwa wachache saana kama 10% tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom