Najiaandaa kuwashtaki madakitari kwenye mahakama za kimatafa

Hv hawa viumbe walifanya feasibility study na cost-benefit analysis ya mgomo kweli? Gomeni kesho hadi mchoke wenyewe....nafikiri ile survival for the fittest iamue who will live longer....ningekuwa prezo ningekula vichwa vyao na ubongo...watu na madigrii yao wanasota mtaani bila bila, acheni ujuha huo....nendeni private hospt kwenye mahela au nje ya nchi...bongo hakuna hela inayowatosha nyie
 
Kwanini kumshinikiza Rais kuwafukuza kazi wateule wake?

Hamuoni mnaingiza siasa kwenye taaluma na pia mnavunja katiba ya nchi?

Ma Dr wamejaa kiburi, ubinafsi, tamaa ya kujaza matumbo yao kwa gharama yeyote hata kama itabidi watu mamia kufa.

Tunawashangaa, haijawahi kutokea mahali pengine. Bora msivae hayo majoho yenu mitaani, tunaweza kushindwa kujizuia kuwapopoa mawe.

WanaCCM ndo wana sifa ulizotaja na wala si madaktari mkuu.
 
Hawalindi afya zetu kama unavyofikiri. Wanalinda pale matumbo yao yanapokua yamejaa kulingana na tamaa zao.
Hawa ni wauaji tu shauri ya tamaa zao.

naona wiki hii mmejiunga jf wengi kwa lengo la kuwatukana na kuwakejeli madaktari. All in all huwezi ukawa sawa na daktari kwa vyovyote vile. Thinking na judgement zenu ni tofauti kabisa.
 
kodi zangu miye zinafanya nini?au miye sikatwi kodi??tunakatwa almost laki 3 kwa mwezi so usiseme kodi yako ndo imenisomesha...kwanini usiishitaki serikali yako inayotoa ahadi za uongo?

hapo kwenye laki tatu si kweli mkuu!
 
Mimi seriously hizi post zinanikera sana, watu humu ndani wanaongea tuu simply because they have jf account, but hawana wanalojua juu ya huu mgomo;hawajui imekuwaje hadi madokta wamefikia hapo?nini kilisababisha ule mgomo wa kwanza?nini kilisababisha madokta warudi kazini baada ya ule mgomo?nini kimesababisha madokta waitishe mgomo mwingine tena hapo j5?whay could have been done to prevent another strike after the first one?what was not done that caused the doctors kurudi kwenye mgomo?serikali ilijifunza nini kutokana na ule mgomo wa kwanza na ilifanya nini kuhakikisja kuwa hali ile haijirudii tena?tusipende majibu marahisi jamani............ Tusiwe wepesi kulaumu tulipoangukia badala ya kuangalia chanzo!!


Nashindwa kuelewa,mnadai maslahi yenu? au mna bifu na mawaziri wenu? Naona kuna harufu ya usiasa kwenye hili suala. Mnakwenda nje ya misingi ya collective bargaining.
 
Hivi karibuni kumekuwa na tishio la mgomo mwingine wa madaktari wakishinikiza kuanza mgomo mwingine, Mgomo wa kwanza ulisababisha vifo vingi tu vya ndugu zetu watanzania wenzetu waliokatwa kodi zao ili madaktari hao wasome kwa furaha. kitendo wanachofanya madaktari hawa ni cha kinyama, cha kiuaji na uhaini wa hali juu. Endapo madaktari hawa watatimiza azma yao hii nawaomba JF wenzangu wenye nia njema na nchi kuandaa mashtaka dhidi ya madaktari hawa na wote wengine wanaosababisha haya katika mahakama za kimataifa.

Wanasahau kuwa kodi zetu ndizo zilizowasomesha na hao stakeholders wengine wanasahau kuwa kodi zetu ndizo zinawapeleka wao India kutibiwa.
:embarassed2:

TUMECHOKA!!!!!
[/PHP]
Wacha kuharisha kama bata! Watu wenye mtindio wa ubongo kama wa kwako ndio wamemfanye mwafrika adidimie. Kikwete na pinda ndio wa kufunguliwa mshtaka. Wanazembea na maisha ya watu kwa sababu wao hawaguswi na vifo! Tumechoka.... tuwavurumushe kama Gadafi

 
Kwanini kumshinikiza Rais kuwafukuza kazi wateule wake?

Hamuoni mnaingiza siasa kwenye taaluma na pia mnavunja katiba ya nchi?

Ma Dr wamejaa kiburi, ubinafsi, tamaa ya kujaza matumbo yao kwa gharama yeyote hata kama itabidi watu mamia kufa.

Tunawashangaa, haijawahi kutokea mahali pengine. Bora msivae hayo majoho yenu mitaani, tunaweza kushindwa kujizuia kuwapopoa mawe.

wewe unaona maamuzi yao yaliyotufanya mpaka tugoma mkapoteza ndugu zenu yanafaa?watanzania ebu amkeni mnaibiwa live na mtu anashikwa but hamna hatua inayochukuliwa,mkakaa kimya sasa ndugu zetu wanakufaa kwaajili ya uteule mbovu bado mnakaa kimya?
 
kodi zangu miye zinafanya nini?au miye sikatwi kodi??tunakatwa almost laki 3 kwa mwezi so usiseme kodi yako ndo imenisomesha...kwanini usiishitaki serikali yako inayotoa ahadi za uongo?


Gomeni muone safari hii! Nyam**fu myie!!!
 
Kenge wewe masaburi mkubwa badala uishtaki serikali yako ambayo kila kukicha inafanya ufisadi,na wakati hospital hakuna vifaa,madawa hakuna,mishahara midogo kwa madaktari na wauguzi wakati wao serikali wakiendelea kutafuna maisha kwa kuiba kodi za wananchi.serikali yako legelege ya CCM siku zao zinahesabika.


Madaktari wako na hiyo serikali yenu wote ni masabuli tu. I hate them equally!!!
 
Haki ya madktari hapo ni ipi jamani embu tupunguze siasa. Kwani kazi yao ni kupangia serikali na abaki na nani atoke??? Je ni kwasababu ya unyeti wa huduma yao ndio wanafanya kuota mapembe?? Au sapoti walioipata kutoka kwa wananchi mwanzo wanafikiri itajirudi, watambue mwanzo tuliona serikali ilikuwa na makosa lakini kwa hili sasa naona wanachezesha shilingi zao tunduni mwa choo.

Kwa hiyo wewe na wenzako mtawafanya nini in case wanagoma?
 
hv kuna ulazima wa kuua watu tena??

Yaani hakukuwepo na ulazima kabisa!

Baada ya mgomo wa mwanzo kuisha ilikuwa ni Rais kuwaita Ikulu(huwezi kumgomea Rais)...
Anawaambia tu wale viongozi wa mgomo kuwa tureason haya mambo,bila ya kumtafuta nani mbabe,au nani kashinda...

Hawa mawaziri waacheni,na maamuzi niliyoyafikia ni haya.. Labda watakaopelekwa wilaya zenye shida na kutofikika kirahisi,wataandaliwa posho maalum tofauti na wa mjini..
Labda na hao watakaokuwa wanakubali kukaa vijijini,watakapokuwa wanamaliza miaka mitatu labda,wao daraja watapanda mara mbili kuliko ilivyo kawaida,na ma-incentive mengine.. Mambo ya kujiendeleza kielimu,labda wao watakuwa na masharti nafuu zaidi,etc.

Mwajua,mshahara daima hautoshi.. Ila maposho,kama semina na vikao,na vitu vidogovidogo kama hivyo,huufanya mshahara utoshe na kufanikisha malengo binafsi kirahisi...

Kwa hiyo suala si mshahara uwe milioni tatu,nne,au tano.. Suala ni incentives.. Ama kama wao wenyewe wanavyoita mazingira bora ya kufanyia kazi.

Ilishawahi kufanyika research Nigeria,tena maeneo mbalimbali kwa Madaktari kuona kama wanaridhika na mazingira yao ya kazi,in relation kwa huduma wanazotoa..
Suala la mishahara midogo lilikuwa la mwisho kabisa kwa %!

Wengi walitaka "recognition"
Ambavyo ni kama nilivyostate hapo juu..
 
Naunga mkono. Hawa ma-dr wauaji wa watu wasio na hatia budi wawajibishwe kwa matendo yao.

Waliua ktk mgomo wa mwanzo, hawakuridhika. Sasa wanadai tujikamue kila kitu ili tuwalipe mishahara ya mamilioni.

Kama itashindikana kuwafungulia mashtaka basi, tutaangalia namna ya kuwashughulikia humu humu mitaani. IMETOSHA KUUA WATU WASIO NA HATIA KWA AJILI YA ULAFI WA FEDHA.

We utakuwa wakala wa CCM, mbona mwuwaji number moja humtaji? serikali yako ya CCM ndo wauwaji.Kwani kinachiwafanya wawakumbatie akina MPONDA na NKYA ni nini? si ndo wamedhamilia kupunguza wapiga kula? Tafakari vizuri utaelewa.
 
Seriously hii nchi inahitaji kukombolewa.
Kila mgonjwa atayekufa kwa kukosa huduma nitalipia shingo za madaktari 2, I PROMISE!

WAKATI NI HUU!!
 
ufisadi una madhara kwa kada zote sio kwa madaktari tu. Rasilimali daima ni pungufu kuliko mahitaji duniani kote sio Tanzania tu. Kugoma kwa madaktari hatuhakikishii mwisho wa ufisadi bali uhakika wa vifo vya wahanga ni bayana na ndiyo maana hatufagilii. Watakao kufa wala si mafisadi, watakufa walala hoi kama mimi na wewe, Mshale wenu unamlenge asiyehusika bali yule anayeteseka pamoja na ninyi.
Tunauana wanyonge kwa wanyonge wenye nguvu wanatibiwa Apolo. Ndiyo maana nasema hasira huondoa busara na kupofusha macho ukashindwa kuona yaliyo bayana
 
Seriously hii nchi inahitaji kukombolewa.
Kila mgonjwa atayekufa kwa kukosa huduma nitalipia shingo za madaktari 2, I PROMISE!

WAKATI NI HUU!!

Sawa mtumwa wa ccm....ebe anza na shingo langu,kunguru we
 
kodi zangu miye zinafanya nini?au miye sikatwi kodi??tunakatwa almost laki 3 kwa mwezi so usiseme kodi yako ndo imenisomesha...kwanini usiishitaki serikali yako inayotoa ahadi za uongo?

Hongera Dr. Chichi kumbe una mshahara menene namna hii!! sasa mgomo wa nini? watu wengine wenye digrii kama wewe kodi haizidi elfu 70. wahandisi na wengineo mishahara kiduchu viyo hivyo!!
 
Madikizela unajinsia ya cow. Mie niko wodini wk ya pili nasubiri operation mara nguo hamna mara dawa za usingizi mara gauze na towel. Tufanyeje mtoto wa kike tamaa
 
Sawa mtumwa wa ccm....ebe anza na shingo langu,kunguru we


Na hapo ndo unapokosea. Vyama unataja vya nn ktk hoja hii? Wewe, CCM yako, au chama chochote unachofagilia, serikali yenu dhaifu wote was*nge tu. Tunazungumzia UHAI WA WATU HAPA NA SIYO VYAMA. Unalipwa 2m bado ukotayari kuua wasio hatia ili unawiri zaidi? Nyambafu! Ole wako mwanangu adhurike pale Amana; NITAANZA NA SHINGO YAKO, I PROMISE!
 
Back
Top Bottom