Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Kwanini kumshinikiza Rais kuwafukuza kazi wateule wake?
Hamuoni mnaingiza siasa kwenye taaluma na pia mnavunja katiba ya nchi?
Ma Dr wamejaa kiburi, ubinafsi, tamaa ya kujaza matumbo yao kwa gharama yeyote hata kama itabidi watu mamia kufa.
Tunawashangaa, haijawahi kutokea mahali pengine. Bora msivae hayo majoho yenu mitaani, tunaweza kushindwa kujizuia kuwapopoa mawe.
Tut....tut...tut....hivi hujui tuna wabunge? Mbona hujawasema?