Najiaandaa kuwashtaki madakitari kwenye mahakama za kimatafa

Watu wa Msoga utawajua tu kwa thread zao, hana analolijua zaidi ya kulopoka.
 
Na wewe ulitakiwa uende ukaPASUE VYURA Lab ila ukaona usome Abushiri na ukienda shule msaafi!!!!!

Wenzio wanapasua sana Usaha na kutoa funza kwa wingi. Kusafisha vidonda na kufiwa na watu ni kawaida.

Mwisho kumbuka kuwa, hao watu dunia nzima wanatafutwa. Usipowajali, wataenda Botswana.

Wewe ni kama mimi tu, tubaki na hizi degree zetu za HGL sijui? Tunavuna tulichopanda kukimbia Sayansi.

Mkuu kuna aliyewashikia bastola wasomee kupasua chura, kukamua usaha na kutoa funza? Afu nani kakwambia udaktari ndiyo taaluma bora kuliko zote? Baada ya kuhitimu ulitaka vidonda vitoe juisi badala ya usaha, au vidonda vigeuke k*ma? Acha ukilaza wewe! Taaluma zote ni muhimu ktk jamii, inategemea unaitumiaje. Sasa nakwambiaje? Acha serikali yenu dhaifu iwalegezee kesho wagome ndo mtajua wanaharakati halisi ni nn!

TUSITUMIE VIBAYA UDHAIFU WA SERIKALI HII [AMBAYO HATA HAIKUCHAGULIWA] KUTESA WASIOWEZA JITETEA!
 
kodi zangu miye zinafanya nini?au miye sikatwi kodi??tunakatwa almost laki 3 kwa mwezi so usiseme kodi yako ndo imenisomesha...kwanini usiishitaki serikali yako inayotoa ahadi za uongo?
PUMBAVU zenu ninyi ma dokta, this time wananchi tutakula sahani moja na ninyi, kama unakatwa kodi kiasi hicho unalipwa sh ngapi? na bado unaacha watu wafe kwa ulafi wa matumbo yenu.
Hamuwezi kutumia thamana ya uhai wetu kwa kudai madai ya uroho wa nafsi zenu, hivi mnafikiri nchi hii ni ninyi tu ndio mnamazingira mabovu ya kazi na mishahara duni, au mnadhani ninyi ndio muhimu sana kuliko wengine?
Mgomo uliopita nimepoteza mtoto wa kaka yangu my be this time could be me or my wife na mshahara wangu haufikii hata kodi unayokatwa
Nasema nitakuwa wakwanza kushika panga na kukatakata DRs pindi mambo yakiharibika, mwanzoni nilidhani mnamadai ya msingi lakini sasa naona mnaanza kucheza na ngoma ya siasa ndani yake na kusahau mnadhamana ya kusimamia afya zetu,
Chamuhimu ni serikali kutekeleza madai yenu ya msingi na si kukomalia mambo ya kiasa kwa kum command rais afukuze wateule wake eti kwasababu DRs wamesema
SHAME ON YOU DRs
 
Kwanini kumshinikiza Rais kuwafukuza kazi wateule wake?

Hamuoni mnaingiza siasa kwenye taaluma na pia mnavunja katiba ya nchi?

Ma Dr wamejaa kiburi, ubinafsi, tamaa ya kujaza matumbo yao kwa gharama yeyote hata kama itabidi watu mamia kufa.

Tunawashangaa, haijawahi kutokea mahali pengine. Bora msivae hayo majoho yenu mitaani, tunaweza kushindwa kujizuia kuwapopoa mawe.

Mkuu niko nawe. I Seriously hate this corrupt and weak gvrnmt that can never be serious for anything, but when it comes to this issue we soon gonna hit the world's record, believe me! Kama ningepewa mandate I would execute both of the parties!

KATIKA ORODHA YA KUNYONGWA NINGEANZA NA MADAKTARI THEN SERIKALI YA MKULU WITHOUT POUSE!
BOTH OF THE TWO ARE GOOD FOR NOTHING!
 
Tupitishe petition JF wangapi wanawaunga mkono drs..tujue wanaopenda kula nyama ya watu hapa she..........nzy
 
pumbavu zenu ninyi ma dokta, this time wananchi tutakula sahani moja na ninyi, kama unakatwa kodi kiasi hicho unalipwa sh ngapi? Na bado unaacha watu wafe kwa ulafi wa matumbo yenu.
Hamuwezi kutumia thamana ya uhai wetu kwa kudai madai ya uroho wa nafsi zenu, hivi mnafikiri nchi hii ni ninyi tu ndio mnamazingira mabovu ya kazi na mishahara duni, au mnadhani ninyi ndio muhimu sana kuliko wengine?
Mgomo uliopita nimepoteza mtoto wa kaka yangu my be this time could be me or my wife na mshahara wangu haufikii hata kodi unayokatwa
nasema nitakuwa wakwanza kushika panga na kukatakata drs pindi mambo yakiharibika, mwanzoni nilidhani mnamadai ya msingi lakini sasa naona mnaanza kucheza na ngoma ya siasa ndani yake na kusahau mnadhamana ya kusimamia afya zetu,
chamuhimu ni serikali kutekeleza madai yenu ya msingi na si kukomalia mambo ya kiasa kwa kum command rais afukuze wateule wake eti kwasababu drs wamesema
shame on you drs

big shame on these mindless vandalists and killers!
 
Akiri zako haziko mbali sana na magamba,kuwafukuza Nkya na Mponda kunaitaji gharama gani?mtu hutakiwi na watendaji wako ww unaganda hutoki maana yake nn?ajenda kubwa ilikua kuwafukuza nkya na mponda maana hao ndo ilikua kikwazo kwenye maafikiano lakini wamewasaliti madr.Aluta continua Tanzania bila migomo haiwezekaniki
 
U are such a poor of Maths, u don't know how even PAYE is being calculated, Laki 3 ikiwa kodi monthly, this guy gets around 1.1 M if that 3 thou is only PAYE....

Mkuu kodi kwenye mshahara laki3?? Maana yake mshahara wako unanafuu kidogo maana yake siyo chini ya 2.0 Mil.
kwa mwezi, Hali yako hujambo, mwenzio na ka-digrii kangu kamoja napata hiyo laki-3.
Madaktari wakigoma tena, ndugu zetu pamoja na wajumbe wengine humu watakufa bila matibabu, huu ni Unyama
mkubwa ambao serikali na madaktari watakuwa wameufanya...ni Kweli wanstahili kufikishwa The Hegue, Viongozi wa ma-dr, waziri Mponda&Nkya, LAZIMA WAFIKISHWE HUKO KWA MATENDO YAO AMBAYO NI KINYUME NA HAKI KUU
YA BINADAMU YA KUISHI.
 
Nosense..... Maku @ work..

PUMBAVU zenu ninyi ma dokta, this time wananchi tutakula sahani moja na ninyi, kama unakatwa kodi kiasi hicho unalipwa sh ngapi? na bado unaacha watu wafe kwa ulafi wa matumbo yenu.
Hamuwezi kutumia thamana ya uhai wetu kwa kudai madai ya uroho wa nafsi zenu, hivi mnafikiri nchi hii ni ninyi tu ndio mnamazingira mabovu ya kazi na mishahara duni, au mnadhani ninyi ndio muhimu sana kuliko wengine?
Mgomo uliopita nimepoteza mtoto wa kaka yangu my be this time could be me or my wife na mshahara wangu haufikii hata kodi unayokatwa
Nasema nitakuwa wakwanza kushika panga na kukatakata DRs pindi mambo yakiharibika, mwanzoni nilidhani mnamadai ya msingi lakini sasa naona mnaanza kucheza na ngoma ya siasa ndani yake na kusahau mnadhamana ya kusimamia afya zetu,
Chamuhimu ni serikali kutekeleza madai yenu ya msingi na si kukomalia mambo ya kiasa kwa kum command rais afukuze wateule wake eti kwasababu DRs wamesema
SHAME ON YOU DRs
 
ungekuwa na huo ubavu ungeanza na serkali yako
kwa mauwaji mengi yanayofanyika bila huruma.
 
Naunga mkono. Hawa ma-dr wauaji wa watu wasio na hatia budi wawajibishwe kwa matendo yao.

Waliua ktk mgomo wa mwanzo, hawakuridhika. Sasa wanadai tujikamue kila kitu ili tuwalipe mishahara ya mamilioni.

Kama itashindikana kuwafungulia mashtaka basi, tutaangalia namna ya kuwashughulikia humu humu mitaani. IMETOSHA KUUA WATU WASIO NA HATIA KWA AJILI YA ULAFI WA FEDHA.

hivi wale mafisadi wa EPA mmewafikisha wapi
 
Hivi kweli Viongozi wetu wamekosa busara za kuongoza kiasi hiki? Hofu imetanda katika mioyo ya wagonjwa, ndugu zao na familia zao na Watanzania wote katika ujumla wetu. Ni lazima kweli huyu Hadji Mponda na Lucy Nkya wabaki kuwa Mawaziri wa Afya hata kama itabidi wananchi maskini wafe wote kufuatia mgomo wa madaktari! Waliwekeza kitu gani kikubwa hivyo hawa watu wawili? Waliwekeza kwa Watanzania au kwa Rais mhuni asiye jali? Hivi hawa watu ni mawaziri au ni waganga wa rais?

,NASEMA ACHA WAGONJWA TUFE TUISHE, KULIKO KUKUBALIANA NA UZEMBE HUU. MADAKTARI GOMENI HADI HAPO WATAKAPO KUBALI KUTIMIZA WAJIBU WAO WA KIUONGOZI
 
Naomba kujua madai specific ya madaktari....maana kila nikiamka nakutana na jipya...mwanzo mshahara na posho...baadae vifaa na huduma za bure kwa wagonjwa....mwisho posho ya Nyumba.....sasa tena Dr.Mponda na Lucy Nkya.
Ni yapi matokeo positive baada ya kujiuzulu kwao?
Je kama wakijiuzulu na mambo yakabaki hivi hivi mtarudi kutibu au mtaendelea kucheza na roho zetu?
 
utahoji sana haitakusaidia ila utakuja kubali sie noma
 
Mtoa thread naomba tuende outside the box, tufanye maandamano ya kushikamana na serikali. Wahuni wachache wasichukue jukumu la kuipangia serikali ijiendesheje.
 
Back
Top Bottom